Search results

  1. A

    Simu na Mahusiano

    Za leo wa ndugu, naomba kuuliza je ni fanye nini na tabia ya mume wangu kuhusu simu(mobile phone) Kwa kweli ni jambo lililokuwa likinisumbua kwa mda mrefu sana. My hubby anatabia ya kutopokea simu sometimes, yn cmu yake inaweza kuuita kwa mda mrefu bila yeye kupokea. Then, hasemi ni nani anakaa...
  2. A

    Flat stomach

    Za leo wapendwa, ningependa kufahamu hivi pombe huongeza minyama uzembe ya tumbo au kukufanya unenepe. Je na nimejaribu kupunguza tumbo kwa mazoezi ila naona kama nazidisha tuu sasa. Je kuna kitu cha kufanya zaidi! Ningependa kufahamishwa kwa yoyote anayejua. Shukrani.
  3. A

    Natafuta wimbo huu wa Taarabu

    Za leo wakuu, jamani natafuta sana alabumu mmoja ya taarabu yenye ule wimbo wa "wape wape ee vidonge vyao, wakimeza wakitema....". Na ikiwezekana na zile zote leatest. Asanteni sana.
  4. A

    Bwana yake Haeleweki

    Za leo wandugu, Jamani shoga angu anatatizo na mumewe asiloweza kumuelewa vizuri nalileta kwenu mnisaidie na mawazo. Mume anakipato cha kawaida na yeye ni mother house (studying) tuu. Sasa ktk kipato hicho jamaa hushindwa sometimes to clear some of the bills na hata hela ndogo ndogo ya...
  5. A

    Songs for the season

    Wakuu wahusika za kushinda jamani, mimi na wazo moja, kama itawawezekana, Tutengenezeeni basi hata Christmas carolls kwenye site yetu especially kwenye wakati kama huu. Natumaini watakuwepo pia members wenzangu watakaoweza kuniiunga mkono. Maana kwa kweli all chrismass carolls(samahani kama...
  6. A

    Swahili translator

    Hello Shy, Nimeshauriwa na members kuwasiliana nawe ndugu au pia kama kuna yoyote anayefahamu, shida yangu ilikuwa nahitaji kama itapatika hio kupata translator ambayo itanisaidia kutafsiri lugha nyingine kwenda kiswahili. Asante sana kwa msaada wako.
  7. A

    Mwanamke na kufika kileleni

    Za leo wandugu, hivi nini maana ya mtu kufika kileleni (orgasm) na hisi kama vile sijaipata au siielewi.
  8. A

    Baada ya ujauzito when to start(***)

    Hello memberz, Naomba kuuliza, baada ya mama kujifungua anatakiwa kufanya nini na ni wakati gani anaweza kukutana kimwili tena na mumewe. Wakunga asanteni.
  9. A

    Sore nipples

    Za leo ndugu wapendwa, jamani na shoga angu ametoka kujifungua j,pili hii iliyopita na ametokwa na michubuko kwenye chuchu zake mpaka anashindwa kunyonyesha mtoto kwa maumivu anayoyapata. Dr. mwenye kujua hili naomba anisaidie please.
  10. A

    Ushauri

    Za leo ndu wapendwa, mimi nimeolewa na mda wa mwaka na nusu sasa. Hapo nyuma niliwahi kuwa na boyfriend tuliye kaa naye kwa mda wa miaka mitatu hivi. Huyu X-bf alikujakufahamu kuwa niliolewa na akafanya juhudi sana kutafuta no. yangu ya simu mpya. Ss huwa ananipigiaaga na kutunimia messages...
Back
Top Bottom