Songs for the season

Aunty Lao

JF-Expert Member
Jul 7, 2008
214
17
Wakuu wahusika za kushinda jamani, mimi na wazo moja, kama itawawezekana, Tutengenezeeni basi hata Christmas carolls kwenye site yetu especially kwenye wakati kama huu. Natumaini watakuwepo pia members wenzangu watakaoweza kuniiunga mkono. Maana kwa kweli all chrismass carolls(samahani kama kuna wrong spellings) ziko kwenye cassete na zingine haziimbi tena basi shida tuu. Kwa kweli katika hili mtakuwa mmenikamilishia my 2008 chrismas muruaaa! Asanteni
 
Here you go Lorain, Merry Xmas and a Happy and Prosperous New Year

[media]http://www.youtube.com/watch?v=rM64NhYoLqA&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=u4Rq8LBvlsg[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=4AcXHif-mtk&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=stEjTFMb940&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=mWzUp2gUUqQ[/media]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom