Search results

  1. Strawberry

    Kampala vs Open University

    Naombeni msaada nataka kwenda kuongeza elimu wapenda hivyo nataka kujua kuhusu vyuo hivyo KIU na OUT.maana nimeona KIU ada zao zipo juu tofauti na OUT. Ila nina mashaka na KIU kama elimu yao ni lege lege kiasi flani.embu wajuzi mnijuze jamani nisije kufanya maamuzi yatakayo nipa shida hapo mbele.
  2. Strawberry

    Msaada wa Solar System

    Habari wana jamvi.Jamani nina uza TV ya Solar flat screen, Solar panel watts 100, Betri ya N 100 na Inventor. bado vipo kwenye khali nzuri.nauza kwasababu nimepata umeme.hivyo sivihitaji tena.Ukinunua unapata na taa za solar 10 bure. wasiliana kwa 0717-706259
  3. Strawberry

    Nauza pikipiki aina ya Fekon

    Nauza pikipiki aina ya Fekon imetumika miezi 7 tu. Dreva kanizingua naona siwezi tena kuendelea na pikipiki. Mwenye kuhitaji ani pm tuongee biashara.naishi Mbezi ya Kimara.
  4. Strawberry

    Watumishi wa Serikali naomba ushauri wenu

    Habari za leo wapendwa wa JF, Naomba kuuliza ili niweze kupewa japo mwongozo kwa hilo swala linalonisumbua. Kuna rafiki ngu aliomba msaada yeye alifiwa na mme wake, mme wake alikuwa mtumishi wa maliasili, akapelekwa mkoa wa dodoma.Yule jamaa bahati mbaya akafariki. Sasa mke wake akaanza...
  5. Strawberry

    Samsung Galaxy Tab 3

    Jamani hee anaetaka Galaxy Tab 3. 8 gb aje hapa achukue bei karibu na buree.ni mpya haija wahi kutumika toka ni nunue.
  6. Strawberry

    Biashara za Afrika Kusini

    Habari za Humu wana MMU. Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu. Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto wa wakulima jamani kweli shida hizi. Sasa hiyo 3M nataka nijaribu kufanya biashara walau za kufata...
  7. Strawberry

    Nauza Samsung Galaxy s 2

    Nauza hiyo simu nimepata simu nyingine sina sababu ya kuwa na simu mbili. Piga 0717-706259 kwa anaye hitaji.
  8. Strawberry

    Mirathi itanitoa roho, naombeni ushauri la kufanya

    Habari wana Jukwaa.Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 32.nilifiwa na mme wangu sasa ni miezi sita toka afariki. Alifia hapa DSM na kuzikwa kijijini kwao huko mkoa flani sitaki kuutaja jina kwa kuhofia usalama wangu. Aliumwa nikauguza na akanifia mie mwenyewe.Tumejenga Nyumba moja na tuna...
  9. Strawberry

    Mirathi inanitoa Roho

    Habari wana Jukwaa.Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 32.nilifiwa na mme wangu sasa ni miezi sita toka afariki. Alifia hapa DSM na kuzikwa kijijini kwao huko mkoa flani sitaki kuutaja jina kwa kuhofia usalama wangu. Aliumwa nikauguza na akanifia mie mwenyewe.Tumejenga Nyumba moja na tuna...
  10. Strawberry

    Equity Bank Equity Bank na nyie mmekuja kuwatapeli wa TZ

    Wapenda mie ni mteja wa Equity Bank. Chakushangaza toka Alhamisi ya Trh14 2013.Hakuna huduma ya kutoa pesa sio kwenye ATM Machine wala Kaunta adi leo hii.ukiuliza shida nini wanadai network haifanyi kazi.wanasingizia wameweka system mpya.Ila cha kushangaza ni kwamba pesa wanapokea na kuweka ila...
  11. Strawberry

    Natafuta Used Laptop

    Habari.kwa yeyote anae uza Laptop tafadhali tuwasiliana tufanye biashara.
  12. Strawberry

    Asanteni sana Wapendwa

    Habari wana Jamii Forum. jamani Jamani hata sijui nianzie wapi jamani.Ila nawashukuruni kwa sala zenu na maombi yenu. Tumemaliza msiba wa Mme wangu mpendwa salama.Namwombea Mungu ampe pumziko la milele. Kweli nashukuruni wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine adi kumafanikisha...
  13. Strawberry

    Mme hajiwezi kwenye tendo la Ndoa

    Habari zenu wana JF. Nina Rafiki yangu wa kike anaomba ushauri pls naomba tujaribu kumsaidia. Huyu dada kaolewa na wamebarikiwa mtoto mmoja wa umri wa miaka 5. yeye na mme wake Wote waajiriwa serikalini.Hawa awali walikuwa hawana maelewano mazuri kwenye ndoa yao.ilikuwa kila mara ugomvi. mme...
  14. Strawberry

    Akina mama tuache wizi

    Huyu nae kala kichapo kwa wizi wa nguo za sikukuu.akina dada wa mjini tuache tabia za wizi na tamaa ya vitu tusivyoviweza.alafu eti mke wa mtu na watoto.Hicho kichapo kweli sidhani kama atarudia tena mwee
  15. Strawberry

    Kwa Wafanya biashara wote wa KINONDONI/TEMEKE

    FAHAMU HAKI ZAKO KABLA YA KULIPA KODI TANGAZO CHAMA CHA WAFANYABIASHARA (TCCIA) KINAKUKARIBISHA KWENYE MKUTANO KUHUSU MATUMIZI YA MASHINE ZA KODI ZA KIELETRONIKI (EFD) NA MASUALA MBALIMBALI YAHUSIANAYO NA KODI. MBALI NA MKUTANO WAALIKWA WOTE WATAOBWA KUSHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA. WILAYA YA...
  16. Strawberry

    Jipatie suzuki kwa bei poa.

    Habari wana JF. Gari inauzwa ipo kwenye khali nzuri. haina udalali. naomba mwenye nia ya kununua tuwasiliane kwa namba hizi 0689141483 0784474919 0717706259 Bei maelewano.Napatikana Dar. Asanteni Ni Suzuki Vitala V6 Manufacture year 1998 Ni Automatic Imesajiliwa mwaka jana hapa Tz.
  17. Strawberry

    Vichanga hawa wanakosa gani?

    Jamani mapenzi matamu kweli kweli.sasa sijui huyoo mama wa hicho kichanga alibakwa,alikuwa mapenzini na njemba likakataa mimba ama vipi?Adi inafikia hatua ya kuzaa na kuamka kukachimbia katoto na kukafukia. Ila Mungu mkubwa jamani pampja na kufukiwa kamepigania uhai wake adi kamepona.wasamalia...
  18. Strawberry

    Aidsday jamani tutafakari

    Jamani Hii siku ya Ukimwi duniani umejipangaje mwenzangu.Na takwimu zinaonesha hakuna familia/koo hapa nchini Tanzania ambayo haijaguswa na tatizo hilo. Chukua hatua hizi kuahikisha unajipa furaha na matumaini jamii inayokuzunguka. Kutokomeza Unyanyapaa. Kupima na kujitambua Kujilinda na...
Back
Top Bottom