Search results

  1. Mshiiri

    Handbook of COVID-19 Prevention and Treatment - Aione Mhe. Waziri wa Afya

    Pakua handbook bure chini katika .pdf format... Very resourceful. Wanajamvi tuweke handbooks zote, video illustrations, and any other pertinet information to share with fellow citizens on how we can prevent and control the coronavirus. This thread is intended to leverage in research and...
  2. Mshiiri

    Elections 2010 Precedent ya 2015 haifai 2020? Siasa hazina mvuto?

    Wadau kwa tathmini huru ya mwenendo wa siasa kuanzia 2014 hadi tukielekea 2020 tunaona yafuatayo 1. Wananchi are not elastic towards politics na hii imechangiwa na kazi nyingi -- hapa kazi tu na hivyo kutokuwa na mvuto kwenye siasa. Hii imeathiri sana kuona ushabiki na undakindaki dhidi ya siasa...
  3. Mshiiri

    HESLB: Uratibu wa marejejesho ya mkopo hauko sawa - records unkept - uhakiki muhimu

    Wanajamvi naomba kuwasilisha kuwa uratibu wa urejeshaji mikopo hauko sawa na hivyo wahitimu wanastaajabishwa na urejeshwaji huu mkopo kwa kuwa HESLB haiweki na inawezekana haina kumbukumbu sahihi za marejesho. Wahitimu wana bank slip zinazoonesha malipo lakini HESLB ina taarifa tofauti za...
  4. Mshiiri

    Tigo leo inaboa mfano wake hamna

    Huu mtandao dume Tigo leo unani? Tunajaribu kupiga simu kwa subscriber wa Tigo na haziendi kabisa. Kunani Tigo?
  5. Mshiiri

    Dictationship by various definitions

    Dictatorship is a form of government where a country (or group of countries) is ruled by one person or political entity, and exercised through various mechanisms to ensure the entity's power remains strong.[1][2] A dictatorship is a type of authoritarianism, in which politicians regulate nearly...
  6. Mshiiri

    Kulinda kura 25 Oktoba, 2015

    Inavyoonekana chama tawala kimeamua kutengeneza mazingira ya kupoteza imani na wananchi kwa kuona kwamba wanahitaji mabadiliko na wao wameshindwa kuwapa watanzania sasa wanatumia njia za matisho na kejeli na kujitoa ufahamu hata kwa wale wenye weledi wa sheria alimradi wapate fursa ya kutenda...
  7. Mshiiri

    CCM - Mbwa mzee mbinu mpya?

    CCM sasa ama kwa hakika imekosa dira na tayari nilishasema hapo awali kuwa ule ugonjwa wa kuwa chama dhaifu kabisa cha upinzani dalili zake wameshaziona au kuwa nazo. Kampeni imeshawashinda kabisa - yaani mikakati ni migumu kwa kuwa za mwizi 40? Au wengine husema "end of the road" Magufuli...
  8. Mshiiri

    Usafi wa Yule atakayechaguliwa kuwa Rais

    Turejee rekodi zetu huyu alikuwa mwenyekiti wa uchaguzi na wakati ule Dar es Salaam ilikuwa ikihitaji mabadiliko kuliko mikoa mingine na pengine ilikuwa kazi kuliko sasa. Hii ilikuwa mwaka 1995 ambapo karatasi za kura kiufundi hazikupatikana za kutosha Dar ila Mwanza zilifika na kubaki. Hii...
  9. Mshiiri

    CRDB bank inafilisika?

    Inaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in terms of upgrading customer services. Fall in ni ndefu wakati siku hizi bank kubwa zote zinakuwa na...
  10. Mshiiri

    Upinzani wa Ukweli Bungeni

    Angalieni hii Video kurihidhisha demokrasia ya ukweli na siyo ya matumbo ya kwetu Tanganyika. Kweli na kweli daima itatuweka huru.
  11. Mshiiri

    Kondoo wa kafara (bangusilo) wanapoisha ujue zamu yako kuwa kafara mwenyewe

    Kuna kamsemo kamjini kanakosema "what goes around comes around" Juzi Kati inanikumbusha kwa machungu sana jamaa mmoja alivyotenda usaliti mkubwa kwa rafiki zake kwa kuwatoa kafara rafiki zake katika jambo fulani lililompasa yeye mwenyewe. Cha kushangaza na kufundisha sana nilichojifunza...
  12. Mshiiri

    Bunge la katiba - bonge ya filamu

    Ama kwa hakika kwa wale wanaofuatilia bunge la katiba watakubali ni kama filamu ndefu au tamthilia na episodes zake nyengine zinatamanisha sana kuendelea kufuatilia mfano ni hii Jumatatu ijayo episode ya Tindu Lissu. Kila mtanzania yuko anxious nini kitaendelea baada ya huu muungano kuwa wa...
  13. Mshiiri

    Truth About flight MH370 dissapearance

    In today's world to hide the motives will be near to impossible due to advancement in technology and era itself in general. 1. Site an example that Gadaffi is a detector, lets remove him! Now we do not see better life in Libya and no one is responsible. 2. Sadam Hussuin has nuclear power and...
  14. Mshiiri

    TiGo network imepotea

    Kwa zaidi ya saa moja sasa huduma yoyote ya TiGo Arusha hamna najaribu kuwasiliana na watu hawapatikani na simu zao ziko on. Kwenye skype wanasema network hamna. Hadi sasa haiajarudi wanadai. Au hawajalipa bills za Tanesco??? Huu si muda mzuri wa kupoteza mawasiliano kwa kuwa ni wakati wa...
  15. Mshiiri

    Kwa makampuni ya kitalii nchini pekee - hotels, airlines, tours, vacation rentals etc

    Kwa wasifiri ni njia pekee ya kununua safari zako. Kwa matangazo ya biashara wasiliana nao, bei zao ni poa sana.
  16. Mshiiri

    Is CHADEMA a political rapist party?

    Most fundamentally, parties organize and orient the public by focusing people on issues and motivating them to vote. They provide structure to what would otherwise be a disorganized and chaotic process. For this reason, many people reason that there can be no democracy without political parties...
  17. Mshiiri

    Message za Twitter kwa wananchi?

    Tanzania si shwari tena? Kufuatia matukio ya uvunjifu na upotevu wa amani katika maeneo anuai nchini kwa sasa, na kwa upande mwingine tabia za viongozi kufuatia matukio haya; yanatuacha wananchi wa Tanzania tukifikiri Tanzania si shwari? Mathalan...
  18. Mshiiri

    Shameful MNR & T website suspended

    It is shameful for such a lucrative ministry to fail in maintaining the website. When you want to visit it Account Suspended Anyhow that is the way it is.
  19. Mshiiri

    Tanzania tunahitaji mabadiliko!

    Kwa muda mrefu nimeangalia kusikiliza na kushiriki mijadala anuai ya kuhusu mustakhabali wa nchi yetu and kugundua kuwa kuna unafiki na uhafidhina mkubwa katika maslahi ya nchi. Kimtazamo hadi sasa nafikiri hatuhitaji mabadiliko ya siasa ya nch bali inahitajika sisi wenyewe kila mmoja kubadilika...
  20. Mshiiri

    Tanzania now on Forbes world richest billionaires scale

    Tanzania is now candidate on undocumented FORBES world richest billionaires top 600 list should the ongoing rumors turn to be correct. For the scale please follow this link The World's Billionaires 2011 - Forbes.com Congratulations motherland Tanzania when it turns out to be true. Keep us...
Back
Top Bottom