Tanzania now on Forbes world richest billionaires scale

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
507
Tanzania is now candidate on undocumented FORBES world richest billionaires top 600 list should the ongoing rumors turn to be correct. For the scale please follow this link The World's Billionaires 2011 - Forbes.com Congratulations motherland Tanzania when it turns out to be true. Keep us posted for this upcoming celebration on FORBES list so I may update the list. Whoever will know the source keep us posted
 
Tanzania hata kwenye "filter by countries" haipo.

Halafu hata ama ingekuwapo, kuna furaha gani kuwa na bilionea wa ajabu mmoja wakati wananchi wengi masikini?
 
so far ni nigeria na egypt na south africa tu..

hata kenya bado hawajatoa hata mmoja
 
Si kuna 3trillion Sauzi? Acha goodwill ambayo itakuwa ni kama 1trillion hivi total 4 trillion kutoka Nyumbani.
 
Haya mambo ya malist wa matajiri sana sana yanaonyesha unyonyaji.

Genaraly USA ndio ina mabilinea wengi lakini ukitafuta nchi zenye maisha bora duniani ni Scandnavia. Why? Kwa nini hakuna wajapan?

Tunachhitaji tanzania ni kuwa kama scandnavia .Ttusiwe na mabilionea wengi lakini maisha ya watani ya wananchi yawe supa. Sio watu wachache kumiliki uchumi.
 
Tanzania is now candidate on undocumented FORBES world richest billionaires top 600 list should the ongoing rumors turn to be correct. For the scale please follow this link The World's Billionaires 2011 - Forbes.com Congratulations motherland Tanzania when it turns out to be true. Keep us posted for this upcoming celebration on FORBES list so I may update the list. Whoever will know the source keep us posted

Sijaona billionaire toka Tanzania ktk hiyo list ya Forbes. Kichwa cha habari hii ni uzushi tu
 
Tatizo siyo kuwa bilionea tatizo ni jinsi ulivyozipata pesa you can become rich with honor or without honor.
 
Tanzania hata kwenye "filter by countries" haipo.

Halafu hata ama ingekuwapo, kuna furaha gani kuwa na bilionea wa ajabu mmoja wakati wananchi wengi masikini?

Wapi kuna matajiri wengi kuliko masikini?
 
Wouldn't surprise me BUT wait, a Tanzanian declaring actual wealth? Now, that's new!
 
mimi namiliki trion 3 na interpol wamekatazwa kunikamata ila nipo kwenye FORBES naitwa shimbao

ha ha ha nasikitika si kwasababu kunaibuka mabepari bali kuja kwa namna nyingine ya utumwa na unyonyaji katika nchi huru
 
Tanzania is now candidate on undocumented FORBES world richest billionaires top 600 list should the ongoing rumors turn to be correct. For the scale please follow this link <a href="http://www.forbes.com/wealth/billionaires/list?page=7" target="_blank">The World's Billionaires 2011 - Forbes.com</a> Congratulations motherland Tanzania when it turns out to be true. Keep us posted for this upcoming celebration on FORBES list so I may update the list. Whoever will know the source keep us posted
<br />
<br />
mkuu mbona sioni kwenye hii list sanasana kuna rostam kutoka russia sasa usijekuta unamchanganya na wa igunga.
 
Ikiwa milioni 20 Tanzania shillings ni fedha nyingi sana kwa matajiri duniani kama Carlos Slim Herlu tunashangaa watanzania wengine ni vijisenti! Je wenye fedha nyingi ni kiasi gani. Watanzania ni mabilionea. Tuache kudhihaki umma. Naomba kuwakilisha.
 
hebu rekebisha post heading...misleading!
Anyway, post reported
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom