Search results

  1. P

    Vodacom tuoneeni huruma, mtatupoteza wateja wenu...

    Katika hali ya masikitiko nilikuwa nasikia tu kutoka kwa watumiaji wenzangu kwamba mtandao wa voda umekuwa mtandao usiojali wateja wake na unaendelea kuwanyonya kwa kuwaibia japo vivocha vidogo ambavyo wateja wao wanaviweka. Binafsi nimekumbana na hilo pale nilipokuwa na shilingi elfu moja na...
  2. P

    DODOMA; Mh Kombo Khamis Kombo amuomba mh Spika hawaruhusu Waheshimiwa Wabunge walie kwa dakika mbili

    Katika hali isiyotarajiwa na wengi mh. Kombo amuomba spika aliruhusu bunge lilie kwa dakika mbili kama kanuni zinaruhusu hivyo.
  3. P

    Mwenyekiti wa halmashauri ya rombo anton tesha ccm;awapongeza mwenyekiti wa chadema na katibu wake

    Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hasa Madiwani wa CCM; mwenyekiti wa halmashauri ya ROMBO CCM;Antoni Tesha wakati hakihairisha kikao cha Halmashauri kilichokuwa kimekaa kupitisha makisio ya matumizi kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2014/2015 cha tsh 10,279,109,613. Aliwapongeza mwenyekiti...
  4. P

    Walimu kufanya biashara ya bodaboda wakati wa vipindi kunatija kwa Wanafunzi wetu na Taifa kwa ujuml

    Wanajamvi kunajambo linanipa wakati mgumu sana;naombeni mnisaidie Hivyi kweli walimu wengi sasa Tanzania wamejihusisha kwenye kumiliki na/au kufanya biashara ya bodaboda. Mimi sinashida na wanaomiliki bali ni ambao wanamiliki na kufanya biashara hiyo wakati wa vipindi vinaendelea darasani...
  5. P

    Abdul Issa siye katibu wa BAVICHA ROMBO,Mwenyekiti BAVICHA

    Mimi mwenyekiti wa BAVICHA Rombo naomba kutolea ufafanuzi upotoshwaji uliopo kwenye jukwaa hili,taarifa hizi zinazosema Katibu wa BAVICHA Rombo bwana Abdul Issa amejiuzulu na kumkabidhi mwenyekiti wa UVCCM bi Beatrice Shirima kadi si za kweli, ukweli ni huu hapa, Moja , bwana Abdul ni...
  6. P

    Askari Rombo wasababisha kifo kwa sababu ya kuomba rushwa ya laki tatu

    Hali isiyo ya kawaida polisi wa kituo kikuu cha Rombo wasababisha kifo cha kijana Massawe katika maeneo ya rombo baada yakuombwa rushwa ya Tsh laki tatu kwa lengo la wao kumsamehe kumpeleka kituoni cha polisi, kijana huyo alikamatwa akiwa na mbao ambazo zimekatazwa kuvumwa kwa kipindi hiki...
  7. P

    Mbunge wa Rombo Selasini,na baadhi ya shule za Kata kuwa VETA...

    Mh.Joseph Selasini mbunge wa Rombo hameoji serikali haioni kunaaja sasa baadhi ya shule za kata kuwa veta,kutokana na vijana wengi kumaliza kidato cha nne na tano na kushindwa kuendelea na elimu ya juu na/au kushindwa kujiajiri. Na ikizingatiwa kwa sasa birth rate ikiwa ndogo inakopelekea...
  8. P

    Mh Mwanri, kujibu maswali kwa hasira ni kuwatisha wabunge...!

    Kitendo cha mbunge wa Siha Mh. Mwanri ambaye ni Naibu Waziri wa TAMISEMI kujibu maswali bungeni kwa hasira pale anapoulizwa maswali ya kutetea maslahi ya wanyonge kweli ni haki? Na huongea kwa unyenyekevu pale anapokuwa anaitetea serikali iliyompatia dhamana ya unaibu waziri, kweli hiyo ni...
  9. P

    Vijana wa CHADEMA walio vyuo vikuu mbalimbali na ubunge 2015

    Vijana wachadema mlio vyuo mbalimbali nchi nataka niwashauri jambo moja chama chetu kimekuwa sana kila mtanzania mpenda maendeleo atakiri hilo,ila tatizo tukiwa vyuoni watu tunawekeana hadi visasi tukianza kusema jimbo fulani ni langu na mwingine naye hivyohivyo...
  10. P

    Wasalamu.....

    Ndugu zangu nawasalimia katika jina la bwana kwa wale ndugu zangu wakristo,Asalaam alaykum ndugu zangu waislamu nimara yangu yakwanza kuingia humu nimeamua kutumia salamu zote hizo kwa lengu lakuleta usawa kwenye dini zote msije kuniita mbaguzi wadini kama vuguvugu la udini linavyotaka kusambaa...
Back
Top Bottom