Vodacom tuoneeni huruma, mtatupoteza wateja wenu...

Priva mella

Member
Oct 31, 2012
81
28
Katika hali ya masikitiko nilikuwa nasikia tu kutoka kwa watumiaji wenzangu kwamba mtandao wa voda umekuwa mtandao usiojali wateja wake na unaendelea kuwanyonya kwa kuwaibia japo vivocha vidogo ambavyo wateja wao wanaviweka.
Binafsi nimekumbana na hilo pale nilipokuwa na shilingi elfu moja na kuingiza kwenye simu yangu ila ghafla nimeshangaa kutazama salio nimejikuta na sh 750/= nikafikiria kwa kina kutokana na sote tunatambua maisha ya kitanzania nimagumu nikaona bora niwapigie Voda huduma kwa wateja angalau waweze kunirudishia kile kidogo walichokichukua bila idhini yangu ila hali ilikuwa tofauti pale mhudumu huyo kunieleza jambo kama hilo haliwezekani, Nilisikitika sana na sasa nataka kuitupa laini yangu niliyokuwa naipenda ya vodacom.
 
Achana hao ni wezi, mimi nilipoteza lainni taratibu za mara Unaambiwa utaje majina unaowasiliana Ukifanikiw Unaambiwa kitambulisho ikifofautiana kidogo utajuta kwa nini umepoteza muda mimi, mara kaape kwa hakimu, vikwazo chungu nzima!!!! Njooo zantel Unapat Dk 20 4 all
 
inanisikitisha sana voda mnatuibia sana jaman watu milioni moja wakiibiwa mia mbili tu jaman ni sawa na Tsh 200,000,000. Jaman voda mnapiga zaidi ya ESCROW
 
Katika hali ya masikitiko nilikuwa nasikia tu kutoka kwa watumiaji wenzangu kwamba mtandao wa voda umekuwa mtandao usiojali wateja wake na unaendelea kuwanyonya kwa kuwaibia japo vivocha vidogo ambavyo wateja wao wanaviweka.
Binafsi nimekumbana na hilo pale nilipokuwa na shilingi elfu moja na kuingiza kwenye simu yangu ila ghafla nimeshangaa kutazama salio nimejikuta na sh 750/= nikafikiria kwa kina kutokana na sote tunatambua maisha ya kitanzania nimagumu nikaona bora niwapigie Voda huduma kwa wateja angalau waweze kunirudishia kile kidogo walichokichukua bila idhini yangu ila hali ilikuwa tofauti pale mhudumu huyo kunieleza jambo kama hilo haliwezekani, Nilisikitika sana na sasa nataka kuitupa laini yangu niliyokuwa naipenda ya vodacom.

They only reason hio hela imepungua ni kwamba, pindi unaweka hio vocha hukuzima data. Hivyo pindi vocha imeingia ikaanza kuliwa kwa vile apps kama watts app, insta zinakuwa zinafanya kazi on background. Inabidi pindi ukiweka vocha zima data.
 
Jamani hizi smartphones nazo zinakula visalio katika simu zetu bila kujua. Kama unatumia smartphone inawezekana ikawa data ilikuwa on na ikalamba kasalio kako.

But mkuu Katavi mbona mitandao mingine haina haya mambo ya ukiweka salio kama data iko on salio linatumika..Airtel bundles zao zikiisha hawachukui hata sent'tano ya mteja.ukitaka kuamini alichokisema mdau hapo juu,weka line yako kwenye Nokia torch then kaa dk10 angalia salio kama hukuweka mikono kichwani,voda ni wezi line yao wananikamatia m-pesa salio langu hawatokaa walione me yangu Airtel tu.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa ni ma jambazi kabisa maana wanachukua kwa nguvu alafu mbali na malalamiko ya wateja TCRA wapo kimya tu.
mm majuzi nilikuwa nina unlimited bundle lakini mbona nilikuta nimekatwa pesa nilipowapigia wakadai eti nilijiunga na J millionea auto, nikawambia sikuwahi kujiunga ata wala sijui wanajiunga vp,nnikawauliza waniambie nimejiunga lini? Wakakosa majibu wakaniambia hawawezi kumpata aliyeniunga so walibakisha tu kuniambia nijitoe ,so ukiangalia wanatuibia pesa kwa kutuunga na uduma zao za automatic so pindi kuiweka salio wanawahi kukata pesa.
 
Tena Voda wanatabia ya kukata pesa sana bila taarifa Mathalani una bundle labda ya cheka alafu una salio lingine kwenye simu bundle ikiisha wala hawakupi taarifa wanakatata na pesa yako ikiiasha ndio wanakwambia umemaliza salio.

Huu ndo upumbavu wanaotufanyia voda...wanasubiri hadi salio lako ulilonalo liishe ndo wakwambie kifurushi kimeisha... Wapumbavu sana.
 
Tumia akili.....rudi shule jifunze IT na utaweza piga simu mitandao yote bila kulipa.....kama voda wanaiba basi na wewe waibie
 
Huu ndo upumbavu wanaotufanyia voda...wanasubiri hadi salio lako ulilonalo liishe ndo wakwambie kifurushi kimeisha... Wapumbavu sana.

Hii ni kweli kabisa na imenikuta mara kibao kiasi kwamba huwa siachi sent kwenye line ya Voda na bundle huwa na nunua kupitia kitochi ambacho hakina mambo ya data.

Vinginevyo wanatokelezea humo humo , huu kweli ni wizi na ndio maana watu hawakai na line moja.
 
Halaf 200MB za voda siku hizi zinaisha haraka.
Wamezidi ujambazi.
 
Isijekuwa Jay milioni inakomba pesa zetu. Ukiweka vocha ya elfu 2 inaisha haraka bila wewe kujua. Waache hizi kamari.
 
They only reason hio hela imepungua ni kwamba, pindi unaweka hio vocha hukuzima data. Hivyo pindi vocha imeingia ikaanza kuliwa kwa vile apps kama watts app, insta zinakuwa zinafanya kazi on background. Inabidi pindi ukiweka vocha zima data.

Ila huo bado ni wizi tu kama ctaki kujiunga je Tcra sijui huwa wanashughulia nini mitandao imezidi wizi ndo mana niliwa kimbia Voda.
 
Back
Top Bottom