Search results

  1. Dr. Ndimu

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Ukawa na hasa CDM hawataki kuambiwa ukweli. Ndo ivo tulieni dawa iwaingie
  2. Dr. Ndimu

    Vipindi vya Star Tv kuelekea uchaguzi

    Ila ITV kwakuwa iko biased na kuipendelea ukawa hamuoni tatizo. Mtaumia Sana huu mwaka
  3. Dr. Ndimu

    Kutofautiana kwa picha ya Rais: Ni kutojua ama hujuma kwa taifa?

    Kama meangalia kwa makini katika magazeti yaliyotoa picha za rais akifunga bunge LA muungano, pamekuwapo na utofauti wa picha moja rais akiwa na tai ya madoa mekundu na nyingine inaonyesha akiwa na tai ya rangi nyekundu plain, vivyo hivyo kwa spika ambaye picha moja amesuka na ingine yuko na...
  4. Dr. Ndimu

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Aliyataka Acha Yamkute,binafsi Ngependa Polis Wafanye Kazi Yao Kisawasawa Ila Wafuate Sheria.,,,
  5. Dr. Ndimu

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Hapana Mkuu.Namzungumzia Aliyekuwa Ded Wa Arusha, Sipola Liana.
  6. Dr. Ndimu

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Mara Kadhaa kumekuwapo na kundi la wateule wa rais wanaoondolewa ktk nyadhifa zao na kuambiwa watapangiwa kazi nyengine, kwa bahati mbaya mara nyingi hatupati mrejesho wa kazi nyengine walizopangiwa, kwa mfano mama sipora, licha ya kufanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu aliondolewa ktk...
  7. Dr. Ndimu

    Nitagombea ubunge Jimbo la Segerea – Dar es Salaam

    Kwahyo chadema hawataki wanaUKAWA wa vyama vengine wajitokeze? mana ukweli ni kwamba wamemmind mtatiro kujitokeza.
  8. Dr. Ndimu

    KINANA: CCM ina mapungufu, Watendaji wa serikali wabadhirifu wanahamishwa

    Leo Chadema unasikitika Kinana kuua chama? basi mwache azid "kukiua".mwambie mbowe aendelee kujenga chama chenu
  9. Dr. Ndimu

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Sijui kwanini, alipotajwa mangula tu mekuwa siamin tena tarifa yao.atleast angetajwa mwengine
  10. Dr. Ndimu

    PENDEKEZO: 2015 CHADEMA wasimamishe mgombea mwanamke kiti cha urais!

    Nimejiuliza sana, na kwakuwa binafsi sijamwona kati ya ninaowafahamu Naomba km kuna anayedhan yupo atuambie ni nani..
  11. Dr. Ndimu

    Mambo ya Linda Bezudenhout ndani ya USA

    Matola umekuwa wa kuleta uzi wa namna hii? au ndomana pacha wako warumi kasusa kuanzisha nyuzi?
  12. Dr. Ndimu

    Mboni Masimba ajifungua mtoto wa kiume

    Mpen hongera pia Snura, hakutangaza ana mimba ili asikose show.wasanii wetu wana hatari
  13. Dr. Ndimu

    Leo nimeweka full tank

    Ah nimecheka sana...
  14. Dr. Ndimu

    Padre Baptist Mapunda: Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani

    Angeponda ukawa ungesema kinyume. Binafsi mi ni mkatoliki ila nakerwa sana na siasa za huyu padre.kwann asivue gamba akafanye kwa Uhuru hyo siasa?anakera
  15. Dr. Ndimu

    Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akutana na Rais Kikwete

    Kama nakuona namna ambavyo ungesifia kama angeenda muona dk.Slaa.....
  16. Dr. Ndimu

    Regina Mwalekwa au Regina Mziwanda?

    Lakini sio kukashifu wenzako.we pia uliumbwa na aliyemuumba huyo "sanamu" unayemsema
  17. Dr. Ndimu

    Mahakama ya rufaa yamfutia kesi ya Ugaidi Wilfred Lwakatare

    Leo mahakama inatenda haki.ikihukumu against nyie mngeikutaka sana.msiwe na double standard...
  18. Dr. Ndimu

    Rumishael shoo umezidi, rummy255

    Wala wasiwasi hana.dada zetu nao ni majanga
  19. Dr. Ndimu

    Hivi Faiza Haider (aliekuwa presenter wa kipindi cha 5 selekt cha EATV) kaishia wapi?

    Mi pia meambiwa tena na mtu wake wa karibu sana.hv kweli hawajui madhara yake ama ndo yanapofusha?hawaoni hata mfano kwa kina chidi? Nimesikitika sana...
Back
Top Bottom