Dr. Ndimu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2012
- 725
- 146
Kama meangalia kwa makini katika magazeti yaliyotoa picha za rais akifunga bunge LA muungano, pamekuwapo na utofauti wa picha moja rais akiwa na tai ya madoa mekundu na nyingine inaonyesha akiwa na tai ya rangi nyekundu plain, vivyo hivyo kwa spika ambaye picha moja amesuka na ingine yuko na mtindo wa afro na zote zimeandikwa kwamba no za za tukio la kuvunja bunge.
Na ukweli nimejastukia picha isiyo sahihi kwa maana isiyo ya tukio la Jana imeandikwa kwamba imetoka ikulu,ndo najiuliza ni makosa ya kibinadamu ama hujuma kwa mh rais wetu? Na kwann wahusika hawako makini?