Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

Ina maana hao walevi na wenye madeni mitaani ni Team Lowassa tu ama?

Hivi si amfukuze Lowassa kuliko kumnyanyasa kiasi hiki hadi kuwachafua wafuasi wake hadharani na kuwadhalilisha kiasi hiki?

Ben sasa wewe mwanasiasa gani usiejua siasa? Hiyo ndio siasa...utakaaje na watu ambao sio team yako na hawakukubali? Watauza team tu..tena for free..ulitaka akae nao akale nao urojo? Ingekua mm...ningewafunga kabisa.

NB:Na declare interest mm ni team lowasa
 
Ben embu tutajie kweli hao waliofukuzwa ambao ni timu lowasa ili tujiridhishe hapa, maana najua watu kama akina Gambo ni vijana wa mtoto wa mfalme sasa sijui anakuwaje team lowasa???
 
Ben sasa wewe mwanasiasa gani usiejua siasa? Hiyo ndio siasa...utakaaje na watu ambao sio team yako na hawakukubali? Watauza team tu..tena for free..ulitaka akae nao akale nao urojo? Ingekua mm...ningewafunga kabisa.

NB:Na declare interest mm ni team lowasa
anza Kingu aliyekuwa DC Igunga
 
Mara Kadhaa kumekuwapo na kundi la wateule wa rais wanaoondolewa ktk nyadhifa zao na kuambiwa watapangiwa kazi nyengine,
kwa bahati mbaya mara nyingi hatupati mrejesho wa kazi nyengine walizopangiwa, kwa mfano mama sipora, licha ya kufanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu aliondolewa ktk wadhifa wake kwa kilichelezwa atapangiwa kazi nyengine,ngependa kujua anafanya kazi gani? vivo hvyo kwa wale wakuu wa wilaya walioachwa ktk panga pangua ilopita.
 
Mama "Sipora" yupi, au unamaanisha yule fedhuli, mhuni Zipora Pangani? Uadilifu upi, kuwanyang'anya wananchi mashamba na kujimilikisha?
 
Sasa kama wamepangiwa kazi ya kuosha vyombo ikulu pia nayo watangaze!?
 
Ndo maana simsikii tena mrisho gambo!

Mbwembwe zote zile!
Cjui kapewa nafasi gani tena
 
Back
Top Bottom