Search results

  1. U

    Terence..

    heshima wakuu.. namtafuta terence mwakaliku,mara ya mwisho kuonana ni 5 years ago tafadhali mwenye contacts zake anisaidie tafadhali. shukrani in advance.
  2. U

    Mapenzi na uganga..

    Ni nini kinachomfanya baba mtu mzima na familia nyumbani kutelekeza familia na kutumikia nyumba ndogo??? baba anadhubutu kuwalaza watoto njaa, huku akimjengea nyumba kicheche.. ni mapenzi au limbwata?kuna evidence mabinti wadogo wana majumba ya kifahari na mali kuliko hata wazazi...
  3. U

    SURA Vs BODY

    this is for men,nini muhimu kwako zaidi unapoanza uhusiano na bibie wako mpya. does a beautiful face matter over a bangin body or is the other way around? wewe kama mwanaume utachagua nini kwanza ?
  4. U

    kifo cha Liumba

    waungwana wenzangu mlioko huko danganyika,naombeni ufafanuzi tafadhali..hizi tetesi za kufa kwa liumba wa BOT ni kweli? Iam interested in facts not fiction
  5. U

    RA Yuko Upande Gani?

    iko wazi By Now Kwamba Kuna Group Zimeanzishwa kwa Nia ya kukigawa Chama,flag Bearers wanajulikana. swali Linakuja, Ra Kama Mmoja Ya Viungo Muhimu Kwenye Siasa Za Kifisadi,yuko Upande Upi? ra Yuko More Loyal To Whom Kati Ya Hawa Mafahari Wawili? tuelimishane wana Jf..
  6. U

    JK ,EL, kitimutimu?

    Wajameni Naomba Data Kwa Mwenye Nazo Hasa Kwa Wenzetu Walio Tz. Ni Kweli Hawa Maswahiba Wawili (jk,el)hawaivi Tena Chungu Kimoja?habari Tulizozipata Ni Kwamba Muungwana Kachoshwa Na Ubinafsi Wa Huyu Mwenzie Na Ukiukwaji Wa Makubaliano Yao Kabla Ya Kutwaa Madaraka. Ndo Maana Akamtoa Kafara...
Back
Top Bottom