Wanajamvi namshukuru Mungu kwa uzima huu nilionao natoa mtazamo juu ya uhalisia wa maisha ya ndoa!
Wengi wanaingia kwa kubipu ila hawajadhamiria,iweje uoe Leo hata wiki haifiki unafumaniwa ?hebu tuwe serious, iweje uoe Leo mwezi tu umuone mwenzio sio mzuri ?tuwe serious, iweje uoe Leo mwaka tu...
Jamani next week nataka kusafiri toka Mwanza kwenda Arusha,naulizia basi zuri luxury pamoja na nauli zao,ikiwezekana nipate na number za Agent wao!saidieni wanajanvi
OOhhh utaipata tu chamsingi Mh aruhusu uhamisho tunamuomba, maana uhamisho na ajira ndo vilisimamishwa kwa ajili ya uhakiki so ajira zimeanza now, na uhamisho Mh tunamuomba aanze kutoa vibali!
Nimepita JF nikaona hii thread, ya Mh Simbachawene kuzungumzia suala la uhamisho nami nachangia ,Kwanza tunashukuru sana Mh Simbachawene kwa kulitambua suala hili la uhamisho kwa wanandoa kuwa ni haki, ni vizuri wanandoa wakaishi mkoa mmoja ili kuleta ustawi wa familia ulezi na kupunguza ruhusa...
Kwanza tunashukuru sana Mh Simbachawene kwa kulitambua suala hili la uhamisho kwa wanandoa, ni vizuri wanandoa wakaishi mkoa mmoja ili kuleta ustawi wa familia ulezi na kupunguza ruhusa zisizo na tija!kwa kuwa yeye ana madaraka tunamuomba aweze kuanza kuruhusu uhamisho kwani TAMISEMI bado vibali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.