Search results

  1. Olaigwanani lang

    Leo katika Historia: Dkt. Salim Ahmed Salim

    SALIM AHMED SALIM; MWANASIASA MWENYE AKILI, MTULIVU, WAZIRI MKUU MSTAAFU, MWANADIPLOMASIA MKONGWE NA CHAGUO LA NYERERE KAMA MRITHI WAKE ILA FITNA ZA WAZANZIBARI NA UNYERERE UKAMPONZA, IKAMFANYA ACHUKIWE NA KUGEUKA LULU ISIYO NA THAMANI. Na. Comred Mbwana Allyamtu -CMCA Monday 1/1/2023 (🧵Uzi...
  2. Olaigwanani lang

    Wananchi wa Longido Wafukuzwa kwenye vijiji vyao

    Ndugu wana jf ni siku za karibuni tuu wananchi wa Loliondo ngorongoro wameondolewa kwenye maeneo yao ya asili...na sasa zoezi hilo limeshaanza wilaya ya Longido ambapo vijiji zaidi ya 30 vya mlima wa Ketumbeine na Gelai wameambiwa waondoke haraka kwenye maeneo yao ambayo wameishi kabla hata ya...
  3. Olaigwanani lang

    Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?

    Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ? ------------------ Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha . Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa ...
  4. Olaigwanani lang

    Thadei Ole Mushi: Wabunge wa CCM wanahitaji kufanya tathmini ya kina kuhusu 2025

    WABUNGE WA CCM WANAHITAJI KUFANYA TATHIMINI YA KINA KUHUSU 2025. Na Thadei Ole Mushi. Wanachokifanya Chadema kwa Sasa ni kutokumshambulia Rais Samia kabisa kwenye Siasa zao badala yake wanadili kushambulia wabunge na Majimbo yao. Mfano Sugu anamenyana na Tulia, Lema anamenyana na Gambo, yaani...
  5. Olaigwanani lang

    Kwa Mamlaka za nchi na Watanzania wote, hali ya kufunga barabara inaudhi sana

    Kuna kitu hakipo sawa Tanzania na inasababisha sisi Wananchi tuichukie nchi yetu alafu viongozi wanatusisitiza eti tuwe wazalendo. Ni zaidi ya dakika 50 sasa barabara ya moshi Arusha imefungwa magari yapo foleni isiyo na mwisho eti kisa rais anahutubia USA njiani, hivi kama unataka kuongea na...
  6. Olaigwanani lang

    Historia fupi ya Oscar Kambona

    HISTORIA FUPI YA OSCAR KAMBONA Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma. Alikuwa mtoto wa marehemu Rev. David Kambona na Bibi Miriam Kambona. Rev. Kambona alikuwa ni miongoni...
  7. Olaigwanani lang

    Fasihi ya Askofu Dkt. Benson Bagonza kuhusu Miafaka vs Muafaka

    INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA. Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja. 1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia...
  8. Olaigwanani lang

    Kwa matukio maovu ya jeshi la Polisi, IGP Sirro alipaswa awe amejiuzulu siku nyingi

    Ndugu zangu, watanzania na wanaJF wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini, ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo.
  9. Olaigwanani lang

    Pendekezo: Chadema imfukuze uanachama Joshua Nassari

    Ndugu wanachama wote na wanaopenda upinzani wa kweli katika JMT kwa kitendo kilichotokea kwa aliyekuwa mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari kwa kukiangusha chama licha ya nguvu nyingi ya wanachama iliyotumika kumpigania mpaka akawa mbunge mara mbili na yeye kufanya mzaha mpaka kufukuzwa...
  10. Olaigwanani lang

    KINACHOWAANGUSHA WANASIASA KIMBIAKIMBIA HIKI HAPA

    TAMAA ya madaraka na fedha, ni sababu kubwa zilizowasambaratisha wanasiasa wengi waliowahi kuvuma ndani ya vyama mbalimbali vya siasa nchini tangu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 kisha wakajisalimisha CCM. Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitumia turufu hiyo kuwasambaratisha...
  11. Olaigwanani lang

    Kwanini Tunazuiwa kwa nguvu kuhama ajira??

    Ndugu wanabodi Kuna baadhi Ya taasisi za serikali especially Za maliasili zinawabana watumishi wanaotaka omba kazi ktk mamlaka zake kuomba kazi kwingine huku mikataba yetu ya kazi ikiwa wazi kabisa kwamba unaweza acha kazi ndani Ya masaa 24 kwa mujibu wa sheria lakini Jana watu wamefika katika...
  12. Olaigwanani lang

    Ziara ya Rais Magufuli, Longido: Wanafunzi walazimishwa kuvaa nguo za nyumbani na kupelekwa mkutanoni

    Ndugu wana JF, Nipo katika mkutano wa waziri mkuu Mh Majaliwa wilayani Longido, Wanafunzi wa sekondari ya Longido wapatao 1,600 leo hii wameamriwa kwenda mkutanoni bila kuvaa nguo za shule ili kuongeza namba ya watu wakati P.M akiweka jiwe la msingi ujenzi wa bomba la maji wilayani hapa pia...
  13. Olaigwanani lang

    Dr.Slaa, Mrema na Lipumba waanzishe chama

    Naleta pendekezo langu kwa wanasiasa tajwa waanzishe chama kipya cha siasa pamoja, maoni yangu sii kwamba vyama vilivyopo vimepitwa na wakati, La hasha bali ninaisi tutaona siasa za burudani hapa Tanzania za aina yake na tupime uwezo wao kisiasa.
  14. Olaigwanani lang

    jee ni kifungu gani cha sheria kinachoweza kukutia hatiani kwa kuota ndoto...?

    wan jf natumaini mko salama wote ninaomba kuwauliza wataalamu wa fani ya sharia kilichoandika na kusema ukioota ndoto Fulani kuhusu jambo fulani liwe zuri au baya dhidi ya mtu au nchi unatiwa hatiani. tunaomba umakini wa kujibu hoja na kama we si mwanasheria pita tuu... ahsanteni.....!!
  15. Olaigwanani lang

    Kama Mwenyekiti wa chama ni Rais, kwanini kikao kiwepo?

    wandugu nasikia kikao cha kumchagua mwenyekeiti ccm na kabla hajachaguliwa nimesikia jina lake,,,sasa kwa nini asifute hicho kikao ili kubana matumizi na tayari anajulikana tu ni yeye.. ebu tunaombeni maoni yenu zaidi kuhusiana na suala hili....
  16. Olaigwanani lang

    soma hii muhimu kwa wanamabadiliko wote..!

    Jamaniinashauriwa cku ya kwenda kupiga kura uende na kalamu yako kamwe husitumiekalamu utakayoikuta kituoni....maana inasemekana kuna kalamu maandishi yakehupotea baada ya dakika kumi, hizi kalamu hupelekwa hasa maeneo ambayo uonekanayana upinzani mkali.....kalamu hizi utengenezwa China na...
  17. Olaigwanani lang

    tathmini ya ari,nguvu,kasi mpya.....?

    Ndugu wana jf ebu tutoe tathmini ya ile kaulimbiu ya ari,nguvu na kasi mpya jee imefanikiwa...?hasa kwa miaka kumi hii....?? Kwani tulii itikia sana na kuipaka rangi mno...tunaomba maoni yenye matiki....
  18. Olaigwanani lang

    Ufisadi wa kutisha Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro

    Ufisadi wa kutisha Mamlaka ya Ngorongoro Ufisadi wa kutisha umebainika kuwapo katika Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro (NCAA), huku Serikali ikiwa kimya, JAMHURI inawathibitishia wasomaji. Kuanzia toleo hili, JAMHURI itawaletea mfululizo wa RIPOTI HII...
  19. Olaigwanani lang

    Je kutembea peku kwenye ziara kunaondoa matatizo ya wananchi?

    kwa siku za karibuni tumeshuhudia kiongozi mmoja wa chama Fulani akiwa anafanya ziara na kufika kwenye maeneo baadhi na kuvua viatu na kutembea peku pamoja na wenyeji wake... nina shauku kubwa kupata maoni ya watanzania kujua ni nini hasa malengo yake kufanya hivi na nini tafsiri yake bwana...
  20. Olaigwanani lang

    Udongo wa muungano wa zanzibar na bara nao uwekwe hadharani...!!

    Kama hati imetolewa ya muungano ni wakati sasa wa udongo uliochanganywa wa bara na zanzibar nao uletwe hadharani ili tujiridhishe kwa asilimia 100%
Back
Top Bottom