Wasaalm wanabodi
Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana.
Niko Morogoro mjini.
Mnakaribishwa PM
Picha
Update*
November 8, 2021
Wakuu nashkuru sana kwa...
Wakuu wasalaam.
Kheri ya mwaka mpya. Mwenyezi Mungu akatujalie afya njema na mafanikio tele 2021.
Ndugu wana JF, natafuta hizi sabuni aina ya ALFA kama inavyoonekana Pichani. Hizi sabuni zinahitajika sana tatizo limeibuka kua hazipatikani kwa wingi.
Tafadhali mwenye kujua zinakopatikana...
Wakuu habari zenu.
Lagrangian nimerudi tena kwenu nkiwa na shida tajwa hapo juu.
Niliwahi kuja na bandiko la kutafuta mzalishaji na msambazaji wa Sabuni za Magadi za Kigoma zile za mawingu. Nilipata mzalishaji lakini kuna changamoto zimejitokeza ikiwemo ubabaishaji mwingi.
Sasa basi...
Wasalam wapendwa wa Jf.
Nahitaji sabuni za kuogea aina ya ALFA kwa bei ya jumla. Muuzaji wa jumla wa sabuni hizo alieko Dar naomba ani dm tufanye biashara. Au kama unafahamiana na muuzaji wa jumla wa sabuni hizo tafadhali niunganishe nae. Niko Moro.
Shukrani.
Wasalaam waungwana.
Kama mada ilivo, mimi ni mfanya biashara wa Sabuni za Magadi za Kigoma. Natafuta kijana atakaenisaidia kusambaza bidhaa za sabuni kwa wateja. Wateja tayari wapo kwa hiyo kijana yeye kazi yake itakua kuwapelekea.
Sifa.
• Awe wa kiume.
• Awe chini ya miaka 25.
• Awe...
Habari wana bodi.
Kama kichwa cha habari kilivo,
Natafuta Mzalishaji wa Sabuni za magadi za Kigoma alieko Kigoma ili tuwe tunafanya biashara, yeye ananitumia mkoani.
Uwezo wa kuchukua ni hadi Carton 100.
Shukran.
Habari wakuu..
Lagrangian ndugu yenu... naliisikia ikitamba sana....ikitisha kama nyambizi kwa kuchana mawimbi kwa kasi, upepo wake ukanivutia..yalinibidi nijisogeze jirani nijione utamu wake.
Lagrangian ndugu yenu, nabisha hodi kwa wakuu...ila tambueni kua mkuu ni mmoja tu..nae ni Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.