Search results

  1. S

    Web developer

    Heshima mbele wakuu, natumaini muwazima. Wakuu natamani na napenda kuwa mahiri katika hii issue, lakini ndio ivyo elimu yangu hairuhusu kwa sababu nimeishia kidato cha nne na nipo kwenye field zingine za kusaka fedha mtaani..lakini hii kitu bado moyoni mwangu..je wakuu nitumie njia gani m'badala...
  2. S

    Nauza CD za ngono za Maceleb wa bongo na ulaya na Viongozi mbalimbali(Enterpreneur)

    Wadau kama tangazo linavyojieleza kila moja shilingi Tsh 15000/= na zingine itagemea na umaarufu wa mtu..lakini haizidi 70000/= napatikana Kariakoo shimoni na hapo ulipo..
  3. S

    Nifanyeje ili niweze kumfahamu baba ya mzazi?

    Heshima zenu wakuu..nasumbuliwa na fikra za kutaka kumjua baba yangu mzazi maana tangu nimezaliwa sikuwahi kumuona wala kumsikia nimelelewa na wajomba na mama pekee..nafikiria kumweleza mama lakini naogoga ataona kama sithamini juhudi zake juu yangu...je wakuu nitumie njia gani ili nipate...
  4. S

    Tiba ya ugonjwa wa MATENDE

    Habari wakuu..Ninaomba kuuliza hivi ni Kweli hakuna tiba kabisa ya huu Ugonjwa wa MATENDE?
  5. S

    Naomba ushauri wadau wa elimu

    Wakuu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2007 na matokeo yalikuwa MATH;C ,CIVICS;B ,PHY'S;C ,BIOS;C ,CHEM;D ,GEOG;D ,ENG;D ,KISW;C..Nilishindwa kusoma kutokana na sababu za kiuchumi....mwaka huu nimeona nijiunge na Chuo. Je naweza kupata Chuo cha Ualimu au chuo cha Afya?..na je kwa matokeo haya...
  6. S

    Msaada wa ushauri GREAT THINKERS

    Habari wakuu...poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu changa...Wakuu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2007 na nilipata daraja la pili la alama 21..kutokana ufukara nilishindwa kuendelea na masomo japo nilichaguliwa kuendelea na masomo ...mwaka huu nimeamua kuendelea na Elimu, je wakuu kwa...
  7. S

    Kipimo cha H.I.V cha Elisa test

    Heshima zenu wakuu....naomba muongozo kuhusu kipimo cha H.I.V cha Elisa test..kama kweli kiko sahihi kwa asilimia ngapi..?...nawasilisha
  8. S

    Msaada wataalamu

    Ndugu wanajamvi naomba kuuliza nini madhara ya DEPRESSION?..nawasilisha.
  9. S

    Msaada

    Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kudownload windows na Ant virus..
  10. S

    Je ni kweli....?

    Jamani hivi ni kweli kuna kabila wabahili kutushinda WAPARE..?
  11. S

    Kiswahili

    Kwanini kiswahili hakipendwi..na waTz?
  12. S

    Mapishi ya vibagia

    Naomba kupata muongozo wa jinsi ya kupika vibagia..
  13. S

    Msaada

    Jinsi ya kudownload window kwenye internet..
  14. S

    Msaada jamani

    Tumbo kuuma bila ya kuharisha..je nini tatizo..?
  15. S

    Hodi hodi hodi

    Jamani wanajami wenzangu naombeni munikaribishe kwa mikono miwili..
Back
Top Bottom