Search results

  1. mukandarasi

    Mwanza walinzi wa wananchi na mali zao wapo?

    Wananchi katika Jiji hili tunaishi tukiwa na hofu kubwa kutokana matukio matatu ya kijambazi! Kama matukio yanatokea karibu na Mabenk ambapo kuna askari walio na silaha! Inamaana hawa majambazi wamejidhatiti kuliko jeshi letu la Polisi!Tukio la kwanza lilitokea karibu na benk ya Azania hapo...
  2. mukandarasi

    TCRA mnatumia namba ipi ya huduma ya wateja ya Airtel?

    Mimi Ni mteja wa Airtel mwenye no.0683 319666.Nimekuwa nikijaribu kuwatafuta hawa Airtel kwa no.100 pindi ninapokuwa Na matatizo nao,maelezo Yao hayanipeleki huduma kwa wateja! Nilikwenda ofisi zao za Mwanza nikajibiwa kuwa hawana hiyo huduma! TCRA mnapokuwa mnawahitaji Airtel huwa...
  3. mukandarasi

    Je ni waafrika pekee walitumika katika biashara ya utumwa?

    Waungwana naomba kuelimishwa, kwa upeo wangu wa Historia, Wakati wa biashara ya Utumwa, watumwa wengi walitoka Bara letu(Africa). Je Kuna Bara lingine lililotoa Watumwa kipindi kile??? Kama hakuna kwanini Afrika?
  4. mukandarasi

    Wamachinga wa mtaa wa Makoroboi wajiandaa kumlaghai RC Mwanza=

    Katika vita ya biashara ya siku nyingi kati ya wamachinga na wenye maduka katika mtaa wa makoroboi mkoani mwanza.Wamachinga Wamepanga kutengeneza madawati na kumkabidhi mkuu wa mkoa ilikujitengenezea wigo wa kutoondolewa katika mtaa huo! Kumekuwa na kutoelewana kati ya wenye maduka ambao hulipa...
  5. mukandarasi

    MAAJABU YA SEKO TOURE HOSPITAL!

    Nipo hapa Mortuary hospitali ya ya Mkoa jiji la Mwanza.Imenishangaza kuambiwa maji hakuna ya kuoshea miili ya marehemu!Imetulazimu ndugu tukatafute maji ili ndugu yetu apate heshima yake stahili!Ukizingatia malipo yote halali tumelipa.Tumewauliza watumishi waliopo,wanadai wamekatiwa maji!! RAS...
  6. mukandarasi

    TANESCO: Umeme ndiyo nishati yenye unafuu wa bei kuliko zote hapa nchini

    Leo asubuhi kulikuwa na kipindi katika kituo kimoja cha Tv hapa nchini ,TANESCO wakieleza kuwa Umeme ndiyo nishati yenye unafuu wa bei kuliko zote hapa nchini! Tena wakijaribu kutoa na mifano isiyo na uhalisia,kuwa mwananchi wa kawaida ana uwezo wa kununua kopo moja la mkaa kwa Sh.2000/- mpaka...
  7. mukandarasi

    Kukatika kwa umeme ni maandalizi ya la mkono?

    Uvumi ulioko mitaani,nchi haina uhaba waumeme,bali ni mazingira yanyojengwa kuelekea uchaguzi kwa manufaa ya watu fulani! Imewekwa hivyo kwa makusudi ya kipindi cha uchaguzi ionekane ni tatizo la muda mrefu,kwani kipindi hicho hata mitandao ya simu itatengenezewa zengwe mawasiliano yawe...
  8. mukandarasi

    Muungano wa startv na tbc1 katka mdahalo wenye kutia shaka!

    Kwanza tukumbuke Tbc1 mali ya serikali ya CCM,hilo halina ubishi.Pia Startv mali ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza hilo nalo halina ubishi pia! Hivyo ndivyo vyombo vya habari vilivyopewa kazi ya kuwaonesha watanzania mdahalo wa UDASA!Sasa shaka yangu mimi nikitendo cha upande mmoja wa ubishani...
  9. mukandarasi

    Serikali ya CCM ina mpango wowote wa kuwawajibisha watendaji wanaoidhalilisha kiutendaji?

    Aibu kama hii ya kutolipa mishahara miezi 2 waalimu huko Igunga kama tulivyoona taarifa ya habari ya startv usiku huu! Sasa walimu wamehamia kwenye jengo la halmashauri wakidai haki yao!Afisa utumiishi anasema "mishahara imechelewa kwasababu haikuwa approved" hivi kweli toka april 2014 mpaka leo...
  10. mukandarasi

    Mwauwasa mbona mnakosa uungwana? (mwanza)

    Nasikitishwa sana na tabia au mwenendo usio wa kiungwana wa Mamlaka ya maji katika Jiji la Mwanza.Wanapokuwa wamechoka kimapato hutumia gharama kubwa katika matangazo ya kukatia maji wateja wake ambao hawajaweza kulipia ankara zao! Lakini wao (MWAUWASA) wanapokuwa wameshindwa kutekeleza wajibu...
  11. mukandarasi

    Chriss lukosi ni moja kati ya wale walio vaa miwani ya mbao?

    Nimekuwa nikisoma maandishi ambayo ni mawazo yake,sijaona au kuelewa kama anaishi na wananchi au wawekezaji wa nchi hii! Amekuwa upande ambao wawekezaji wanafurahia nchi hii kuliko wazalendo, wanavyotaka nchi na utawala wake uwe!Wanachi wenzangu niambieni nani ana amani ya maisha mahali anapo...
  12. mukandarasi

    TBC isaidiwe kabla ya kufikia hali kama ya TRL na ATC

    TBC ni chombo muhimu sana kwa serikali na wananchi kwa ujumla.Leo serikali inaona kabisa chombo kinadidimia lakini hakuna jitihada za wazi kukiokoa.Nasema za wazi kwasababu wengi wetu tulio wadau wa chombo hiki hatujui na hatuoni jitihada za kuikoa TBC! Leo hii imefikia ukijipanga kuangalia...
  13. mukandarasi

    Nikweli tiketi za Treni zilikwisha au hujuma za kibongo kama inavyotokea uwanja wa taifa?

    Inatia shaka kuanza kusikia kuwa umetokea uhaba wa tiketi katika treni iliyo anza kazi juzi! Kisha nauli kukusanywa kwa mtindo wa daladala.Kwahali ninashaka sana na wajanja wachache wanoweza kuitengeneza hali ya upungufu wa tiketi kwa faida yao.Nasema hivyo kwa uzoefu wangu uwanja wa taifa,pia...
  14. mukandarasi

    Pete ya ndoa kuvikwa mkono wa kushoto,na kidole cha shahada au cha pete.

    Namshukuru Mungu leo,mimi na mke wangu tunatimiza miaka kimi na sita.(16) ya NDOA.Iliyofungwa Mjini Arusha,kanisa la Mjini Kati(Lutheran) na sherehe kufanyika ukumbi wa BOT.Mungu ametujalia watoto wawili Kelvin na Caroline.Kwa kipindi chote hicho sija wahi kujiuliza kwanini tulivishwa Pete mkono...
Back
Top Bottom