mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
Namshukuru Mungu leo,mimi na mke wangu tunatimiza miaka kimi na sita.(16) ya NDOA.Iliyofungwa Mjini Arusha,kanisa la Mjini Kati(Lutheran) na sherehe kufanyika ukumbi wa BOT.Mungu ametujalia watoto wawili Kelvin na Caroline.Kwa kipindi chote hicho sija wahi kujiuliza kwanini tulivishwa Pete mkono wa kushoto na kidole cha shahada ,swali hili limenijia nikiwa sina jibu!Naomba mtu mwenye kujua historia na sababu za kufanya hivyo anijuze.