Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300?
Naomba msaada ni jinsi gani naweza kuziona hizo specification.
Naweza kujuaje kama hii router ni ya uwezo wa watu 60 au zaidi?? Au pungufu?? Kifupi ni namna ya kujua idadi ya vifaa vinavyoweza kuwa connected kwenye router naangalia wapi??
Habari za mida,
Naomba kusaidiwa router gani ni nzuri kwa matumizi ya taasisi ambayo inakuwa na watumiaji 500 kwa mara Moja wakiwa connected kwa wired na wireless?
Na kipi natakiwa kukiangalia kwenye hiyo router ili kujua idadi ya users inayoweza kuchukua?
NB: Sina utaalamu sana na router...
Nimesoma kwenye Google ila sijaelewa being inatumika kama gerund, adjective , noun na verb anayejua vizuri hivi anisaidie kwa maana nimetoka mtupu!
Kuna mifano kama hii,
Being a male,
She is being beaten by ball .
I believe being with you is a good thing
Habari
Naomba kujua ni vigezo gani nivitumie kupata sample size of my study?
Mfano: Nahitaji kujua idadi ya wamama wanaotumia uzazi wa mpango kwa jiji la Dar Es Salaam au Nataka kujua uelewa wa wananchi wa Mbeya kuhusu matumizi sahihi ya dawa za Malaria au Natakujua matatizo gani hupelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.