We ulie toa mada hii kuwa makini sana, umetumia vigezo gani kupima maoni yako? Kama ni hivyo basi
1. Unapozungumzia sheria tayari mungu alishaeleza kwenye Qurani na Bibilia hizo ndo sheria za haki, izi zengine za
watu ni kudhulumiana tu
2.Unapozungumzia Engineer hujaweka wazi, zipo nyingi...
Aisee mkubwa kweli nimetoa neno ambalo si la busara, unajua wakati mwingine uzembe ambao unatendeka na watendaji wa serikali yetu unatia hasira sana, any way ilikuwa nataka nipate majibu tu, nashukuru sana wadau.
Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mambo yanenda sawia.
" Kwa taratibu ambazo zilikuwepo awali ni kwamba mtumishi wa serikali akijiendeleza kimasomo katika taaluma anayoifanyia kazi anaporudi kwa muajiri wake humpandisha ngazi ya utumishi ambapo mtumishi anahitajika kuonesha vyeti...
Kwa tetesi nilizonazo eti ongezeko la mishahara ya watumishi Tanzania 2013 kwamba walimu 25 percent, afya 60 percent na 55 percent sekta nyinginezo, hivi mwalimu nchi hii amekosa nini? hivi serikali hii ina maradhi gani? ni bora serikali ingeacha mambo kama yalivyo kulikoni kebehi hii kwa...
Hallo habarini, mimi ni Mwalimu wa Masomo ya Mathematics/Physics/Computer Studies nimehitimu diploma in education 2008 nimefundisha miaka miwili shule ya serikali, HIVI SASA NIPO UNIVERSITY OF DAR RES SALAAM mwaka wa tatu namaliza JUNE/2012 Mwaka huu, kwa anayefahamu shule zinazohitaji mwalimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.