Nafuta private schools kwa ajili ya kufundisha mathematics

YAHAY

Member
Apr 28, 2012
11
0
Hallo habarini, mimi ni Mwalimu wa Masomo ya Mathematics/Physics/Computer Studies nimehitimu diploma in education 2008 nimefundisha miaka miwili shule ya serikali, HIVI SASA NIPO UNIVERSITY OF DAR RES SALAAM mwaka wa tatu namaliza JUNE/2012 Mwaka huu, kwa anayefahamu shule zinazohitaji mwalimu wa masomo hayo, ebana naomba nitaarifu.
Wasiliana nami via e-mail yah_bri83@yahoo.com au yahayadalali@gmail.com KILA LA HERI WAKUU.
 
Shule kibao...anzia Boabab Bunju pale baada daraja kwenda bagamoyo,pia nenda bagamoyo...Eagles,Marian Girls na Boys...
Shule za hapa Town ziko tele anza kuzungukia tu kila la heri Yahaya
 
Serikali imenikopesha hivyo naangalia njia ya kurudisha mkopo kwa haraka c unajua maslahi ya uwalimu serikalini choka mbaya.
 
tafuta daily news ya 23rd april kuna advert ya mwalimu wa mathematics savannah plains international school,pana allowance nzuri mno na lucrative salary na u-apply fasta
 
Back
Top Bottom