Search results

  1. Y

    Degree bora duniani

    We ulie toa mada hii kuwa makini sana, umetumia vigezo gani kupima maoni yako? Kama ni hivyo basi 1. Unapozungumzia sheria tayari mungu alishaeleza kwenye Qurani na Bibilia hizo ndo sheria za haki, izi zengine za watu ni kudhulumiana tu 2.Unapozungumzia Engineer hujaweka wazi, zipo nyingi...
  2. Y

    Tafadhali soma hapa!!!

    Itaanza tareh 7/10/2013
  3. Y

    Msaada kuhusu kubadilisha ngazi ya utumishi serikalini

    Aisee mkubwa kweli nimetoa neno ambalo si la busara, unajua wakati mwingine uzembe ambao unatendeka na watendaji wa serikali yetu unatia hasira sana, any way ilikuwa nataka nipate majibu tu, nashukuru sana wadau.
  4. Y

    Msaada kuhusu kubadilisha ngazi ya utumishi serikalini

    Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mambo yanenda sawia. " Kwa taratibu ambazo zilikuwepo awali ni kwamba mtumishi wa serikali akijiendeleza kimasomo katika taaluma anayoifanyia kazi anaporudi kwa muajiri wake humpandisha ngazi ya utumishi ambapo mtumishi anahitajika kuonesha vyeti...
  5. Y

    Cwt kukata mishahara ya walimt

    Ok vizuri mkubwa, ila TTN/UMET/CHAKAMWETA ni nini? naomba nifahamishe ndugu
  6. Y

    kwa wale wanao potosha watu kuhusu mishahara ya walimu soma hapa!!

    Uyu alieposti taarifa hii nadhani ndo walewale vibaraka wa ccm, pumbavu zake
  7. Y

    Ongezeko la mishahara kwa walimu

    Sikiliza wewe kama vipi basi nenda na wadogo zako darasani ukajisomeshe mwenyewe, itakuwa poa sana mkubwa.
  8. Y

    Ongezeko la mishahara kwa walimu

    Kwa tetesi nilizonazo eti ongezeko la mishahara ya watumishi Tanzania 2013 kwamba walimu 25 percent, afya 60 percent na 55 percent sekta nyinginezo, hivi mwalimu nchi hii amekosa nini? hivi serikali hii ina maradhi gani? ni bora serikali ingeacha mambo kama yalivyo kulikoni kebehi hii kwa...
  9. Y

    Nafuta private schools kwa ajili ya kufundisha mathematics

    Serikali imenikopesha hivyo naangalia njia ya kurudisha mkopo kwa haraka c unajua maslahi ya uwalimu serikalini choka mbaya.
  10. Y

    Nafuta private schools kwa ajili ya kufundisha mathematics

    Hallo habarini, mimi ni Mwalimu wa Masomo ya Mathematics/Physics/Computer Studies nimehitimu diploma in education 2008 nimefundisha miaka miwili shule ya serikali, HIVI SASA NIPO UNIVERSITY OF DAR RES SALAAM mwaka wa tatu namaliza JUNE/2012 Mwaka huu, kwa anayefahamu shule zinazohitaji mwalimu...
Back
Top Bottom