Recent content by Yabesi Consult Co Ltd

  1. Y

    Mazungumzo Mabaya

    Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. 1 Wakorintho 15:33 Waswahili wanasema ukitaka kubadili Tabia badili mtazamo wako Chochote unachokisoma kuna sehemu kubwa Sana ya kubadili fikra zako Ndio Maana Yesu aliweka msisitizo juu ya kile unachopokea maana kwa njia ya mafundisho...
  2. Y

    Utajiri na Heshima

    Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo, Kmb 8:18 Watu wengi wanasema Mungu hatoi utajiri, huo ni Uongo. Mungu anatoa utajiri, tena watumishi wengi wa Mungu walikuwa ni matajiri. Umesoma...
  3. Y

    Heshima imerejeshwa

    Yohana 8:10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia? Ninaposoma habari hii ya Yesu na Mwanamke Huyu kuna maswali mengi ninayapata karibu kusoma Yh 8:2-11 kuna vitu utaviona. Hawa ndugu...
  4. Y

    Dawa ya tabia Mbaya

    Tabia za Mwanadamu inajengwa na watu wanaomzunguka kama vile wazazi /walezi, majirani, walimu, dini etc Mara nyingi tabia Mbaya ni rahisi kuingia kwa MTU lakini sio raisi kuiondoa mfano ulevi, matumizi ya dawa za kulevya, ushoga, umalaya na tabia kama hizo. Na tabia hizo mara nyingi...
  5. Y

    Gharama za Nyumba

    Kwa maitaji ya ramani, gharama za ujenzi na kujengewa nyumba maeneo yoyote Tanzania tuwasiliane kwa namba 0659215501.
  6. Y

    Usijionee huruma (don’t feel sorry for ur self)

    Kuna wakati katika maisha tunakutana na changamoto mbalimbali ambazo zinatukatisha tama kiasi kwamba tunatamani kukatisha maisha yetu au kujidhuru au kufanya maamuzi yoyote magumu , kabla ujafikia uamuzi wa kufanya chochote kibaya kwanza wafikirie wazazi wako na mama yako aliyechukua mimba...
  7. Y

    NAFASI NYINGINE (ONE MORE CHANCE)

    Unaweza kuendelea kuishi maisha ya dhambi na anasa za dunia, unajindangaya kwamba Mungu akuoni au unaamini kwamba Mungu aweze kuhukumu ulimwengu unaona wanao tenda dhambi ni wengi kuliko wasiotenda dhambi Ebu kaa na ufikiri jaribu kuvuta kumbukumbu zako vizuri angalia wale uliokuwa nao tangu...
  8. Y

    USIDHARAU MWANZO MDOGO

    Yamkini umezunguka miaka na miaka kutafuta kazi nzuri ya ndogo yako umejaribu kutuma maombi kila application unayokutana nayo umejaribu kutoa sadaka kwa kila madhabau unayoiiua ili Mungu afungue mlango wa ajira lakini haujafanikiwa katikati ya kukat tamaa unapata kazi labda ya kujitolea au...
  9. Y

    Unataka nyumba ya gharama nafuu? Karibu Yabesi Consult Co Ltd

    Tupigie kwa namba hizi 065925501 au WhatsApp 0764927724, upate ushauri wa namna gani ya kujenga nyumba bora kwa gharama nafuu
  10. Y

    Unataka nyumba ya gharama nafuu? Karibu Yabesi Consult Co Ltd

    Kwa yoyote mwenye mpango au lengo la kujenga karibu Yabesi Consult Co Ltd upate ushauri wa namna bora ya kujenga kuanzia gharama za ujenzi, aina ya ramani, gharama za vifaa, namna ya kupata vibaru, mikopo bank na ushauri wa kitaalamu kutoka kwa watalamu wa ujenzi karibu upate ushauri bureee
  11. Y

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    kwanza tungepata maana ya msomi wengine wanasema hata ambaye hakusoma ila anaakiri ni msomi na aliyesoma hana akiri ni kilaza?
Back
Top Bottom