Yabesi Consult Co Ltd
Member
- Jan 13, 2018
- 38
- 60
Kuna wakati katika maisha tunakutana na changamoto mbalimbali ambazo zinatukatisha tama kiasi kwamba tunatamani kukatisha maisha yetu au kujidhuru au kufanya maamuzi yoyote magumu , kabla ujafikia uamuzi wa kufanya chochote kibaya kwanza wafikirie wazazi wako na mama yako aliyechukua mimba miezi 9 na kukulea hadi umekuwa mtu mzima yamkini wazazi wako walikuacha kwa ndugu ila kitendo cha kukutunza tumboni bila kutoa mimba ni kitu cha kushukuru Mungu kwa kuwa hai mpaka sasa.
Yamkini umekuwa na changamoto ya tabia ambayo umekuwa nayo ni tabia ambayo unatamani usiku na mchana kuhiacha lakini wapi umejaribu kila njia lakini umeshindwa usikate taamaa Mungu aliyekuumba, hakukumba ushindwe na mwili bali uushinde mwili
Tunaposoma habari ya Rahabu Yule kahaba, Rahabu ingawa alikuwa ni kahaba lakini hakuwa anapenda ile tabia ya ukahabu lakini hakukata tama wazazi wake walimkatia tama lakini yeye hakuvunjika moyo aliendelea kuamini iko siku tabia ya ukahabu itakuwa historia katika maisha yake, tunaona Miungu aliyemuumba alikuja kumtoa katika ukahabu, ndugu yangu katika tabia hiyo ya ukahabau umekuwa unaomba kutoka usiku na mchana Mungu amefungua mlango siku yako inakuja wokovu wako unakaribia na Mungu atakufuta machozi
Wakati nilikuwa nasoma ilifika mahali mwalimu Mkuu alimwambia mama yangu hasipoteze fedha zake maana sita weza kufanya vizuri katika masomo.lakini Mungu aliyenijua tangu tumboni alinisiaidia sio tu kumaliza form 4 vizuri na kupata shahada ya juu, usijikatie taamaa yamkini mtoto uliye naye afanyi vizuri shuleni endelea kumtia moyo hiko siku atafanya vizuri endelea kumwombea Mungu atamtetea endelea kumwamini Mungu juu ya shule yake
Yamkini maisha yamekuwa magumi kiasi kwamba unaona hakuna faida ya kukaa duniani kila unalofanya alifanikiwi kila unalojaribu kufanya hakuna matunda endelea kumwamini Mungu, kama Mungu akutukatia tama wakati adamu ametenda dhambi lakini Mungu aliamini ikosiku tutageuka na kumlejea yeye, kama Mungu ajakata tama juu ya maisha yako kwanini unakata tamaa? Hau aujui jinsi unavyoumia ndivyo Yesu anaumia mara mbili yake kama mzazi anavyoumia juu ya mtoto ndivyo Yesu anavyoumia juu ya maisha yako usikate tamaa. Isa 49:15
Usiku Mmoja unaweza badilisha maisha yako, unaweza kuona kwamba hakuna tumaini lakini tumaini liko kwa Mungu endelea kumwamini Yesu Kristo endelea kuamini tu wokovu wako unakuja , usikate tama.