Recent content by WANALIZOMBE

  1. WANALIZOMBE

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Acha uongo, watu wote mme wabeba na kuwa lipa
  2. WANALIZOMBE

    Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais

    Hata wakataze lazima tutinge NEC. Magufuli mbona hawakukataza?
  3. WANALIZOMBE

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kauli ya Mwalimu Nyerere Kuhusu Lowassa: NEC Dodoma 1995 "Hapa hatuchagui mtu maarufu, tunachagua mtu safi na huyu si safi. Kama unapenda sura yake basi nenda kanywe naye chai. Wengine mnasema aaah ni tuhuma tu. Samuel (Sitta)! Yusuf (Makamba)! Mnasimama hapa mnasema ni tuhuma tuhuma tu! Lakini...
  4. WANALIZOMBE

    Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

    Please mwenye matokeo pale mkwakwani na morogoro?
  5. WANALIZOMBE

    Kilichowapeleka Simba South Africa, Siri ya Fichuka

    Ndugu wapenzi wa soka la Tanzania, Jambo ambalo timu ya simba wameenda kukifanya South Africa si cha kimichezo kabisa, habari kutoka ndani ya club ya simba imethibitisha kuwa wachezaji wamepelekwa kuongezewa nguvu za kuweza kukabiliana na watani zao wa Jadi Young African. Chanzo hicho cha...
  6. WANALIZOMBE

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Safi sana
  7. WANALIZOMBE

    Msako wa ndege iliyo potea ya Malaysian bado ni utata.

    Ndege ya Malaysia ; Msako wa wiki mbili haujaleta matunda Kikosi cha kimataifa kinachosaka ndege hiyo yenye namba ya safari MH370 katika eneo la ndani la bahari kusini mwa India kimerejea leo Jumamosi(22.03.2014) katika eneo ambako mabaki ambayo yanashukiwa kuwa ya ndege hiyo yalionekana...
  8. WANALIZOMBE

    Kweli CHADEMA Yaweza Kuiangusha CCM Kalenga? Namba Hazisemi Uongo...

    Simiyu na wenzako mnafikiri kwa kutumia MA------, sikuzote mnachangia upumbavu, kama hamna hoja ya msingi bora mkae kimya. Mna bore sana
  9. WANALIZOMBE

    LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

    Hukumu ya mnyama kesho. 7-0 mtaziweza?
  10. WANALIZOMBE

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Siyo bahati mbaya, kwani Jina lako ni kielelezo tosha
  11. WANALIZOMBE

    Jumatatu wapenzi wa Zitto tujitokeze kwa wingi

    Mleta mada umepata viroba! Nani wakumkodia vijana zitto? Acha ubwege.
  12. WANALIZOMBE

    Kesi ya ZZK ina makosa mengi

    Mkwawa umeongea maneno mazito sana, pls lete ushaidi tuufanyie kazi
Back
Top Bottom