Picha: Polisi wetu huu ni uzembe au ni kufanya kazi kwa mazoea?

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,452
12,319
Na ndio maana hawa jamaa huwa wanavamiwa na kuporwa silaha kiurahisi kabisa, kuna haja ya jeshi la polisi kuwaangalia upya hawa vijana mnao waajiri siku hizi.
 

Attachments

  • 1423281060046.jpg
    1423281060046.jpg
    75.7 KB · Views: 8,731
Wote siraha wameweka chini, mmoja anachat mwingine kauchapa.
 
Mwingine kapiga mboji zana kaisahau mbali kabisa. Nidhamu ya kazi hakuna kabisa.
 
Na ndio maana hawa jamaa huwa wana vamiwa na kuporwa siraha kiurahisi kabisa,kuna haja ya jeshi la polisi kuwa angalia upya hawa vijana mnao waajiri siku hizi.

Mkuu ChingaOne hakuna dalili wala chembe chembe za photo editing hapo? kama ni kweli basi hao jamaa ni wakuda kabisa na wanastahili adhabu kali sana ya kijeshi...
 
Last edited by a moderator:
Huyo anayechat kajiegesha kwa uzuri, miguu ngazi ya kwanza, kiuno ngazi ya pili, mgongo ngazi ya tatu na Kichwa ngazi ya nne.

kama ninacho kiwaza ndicho ulicho maanisha basi we ni noma teh teh teh.
 
Nina wasiwasi na hiyo picha.Hapo kitu cha photo editing lazima kinausika.
 
Na ndio maana hawa jamaa huwa wana vamiwa na kuporwa siraha kiurahisi kabisa,kuna haja ya jeshi la polisi kuwa angalia upya hawa vijana mnao waajiri siku hizi.
Smartphone na smartgun vinamvutia smartguy! Smartguys wataendelea kunyanyasa jeshi la polisi mpaka jeshi litakapostuka na kujiweka smart vilevile
 
Back
Top Bottom