Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Simba ameshindwa kumkamata paka sasa ameamua kujilia nyasi. Ha ha ha ha ha ha ha!
 
Komeo la plastic Ooops Komeo Lachuma njoo bwana, ndio mpira usiwe unaongea wakati wa raha tu, hata majonzi kama hivi ongea tu. Nakusubiri tu na ninaweza kukesha kama jana u know...
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana mkuu Watu8, yaani uliona eehh, na majibu ndio haya wameyapata. Watajifunza maana wengine tumtegemeaye halali wala hasinzii.

... naye hadanganyi wala hadanganyiki, yeye ni mwaminifu.

Asante Mungu kwa matokeo ya leo.

Ninalo ombi moja tu, saidia kesho Yanga iifunge Mtibwa Sugar, kwa heshima ya jina lako, maana tunaokutegemea tukifungwa, wewe unaonekana ni Mungu usiyeweza, lakini tunaposhinda sifa na utukufu tunakurejeshea wewe. Asante kwa kuwa umesikia na utatenda kwa kadri ya mapenzi yako; na kila asomaye aseme: AMINAAAA!
 
Amina... Maana yeye alisema ombeni nanyi mtapewa. Kesho hawezi kutuacha yatima.
 
Jukwaa limebaki ukiwa, haipendezi kuwakosa mikia, nasaini auti hadi kesho.

Wakuu nawatakia usingizi mnono kwa wale wa mlengo wa kulia, mlengo wa kushoto nawatakia kusimama kwema vitandani mwenu usiku kucha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom