Recent content by TSUDUNI

  1. T

    Uzi maalumu kuwaenzi Waandishi wakongwe kwa njia ya kuweka misemo au nukuu maarufu kupitia vitabu vyao

    Not knowing what was happening at the time before you were born is to remain a child
  2. T

    Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

    St Oribnzuri ila ya kufunga ingefaa kama ungeweka reference
  3. T

    Kumbukizi ya Dkt. Bashiru: "Sitagombea wala kukubali uteuzi wowote baada ya huu". Kilichofuata baada ya hapo ilikuwaje?

    Aliweka historia kuwa Katibu mkuu kiongozi alieongoza Kwa muda mfupi zaidi afrika
  4. T

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Kasavunu ni wakongo Tena aliwahi kuepo Joseph Kasavunu raisi wa kwanza wakati Lumumba akiwa waziri mkuu wake
  5. T

    Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

    Pole Sana ila Mali na vyote tutaviacha siku moja mshukuru Mungu bado upo hai pia kama hukuyataka hayo usingeruhusu swala lifike mahakaman
  6. T

    Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

    Lenard mambo mbotela si alikua kbc na kile kipindi Cha he? Huu ni ungwana
  7. T

    Je, Wachagga na Wamasai ni ndugu moja?

    Ni kweli Kuna wachagga wengi wenye asili ya kimasai! Mm Babu yetu WA ukoo alikua mmasai kabisa na jina alotumia Leo linatumika umasaini tena wale wamasai wa Kenya ! Sisi wenyewe ukoo wetu maana yake inadhihirisha tulikua wamasai na kazi kubwa ilikua ufugaji
  8. T

    Wachagga nimethibitishiwa hili na Mchagga tukuka mwenzenu je, lina ukweli au mnalikataa?

    Hapana sio mwanamke ndie aletw WA nnje ni mwanaume apige nnje
  9. T

    Hujafa hujaumbika: Huyu ndio yule Sulemani Bungara (Bwege)

    Mbona Hana mguu mmoja ajali au sukari jaman
Back
Top Bottom