Majina mazuri ya kiasili/ kilugha ya kikinga, kuwapa watoto

Wasalaam wadau wa jukwaa,Naomba kutajiwa majina mazuri ya asili ya Wakinga ili niweze kumpa mtoto.Napenda majina ya kiasili kama njia mojawapo kuenzi utamaduni wetu Thank you in advance for your help
Alanocha, tumwidikhe, lodekho, anyombye, ambwene, twekhelakhe, khumbiso, lomwadi, khyela, atopye, lusajano, luhovokhelo, khipicha, khapongo, khapamato,..........
 
Wasalaam wadau wa jukwaa,Naomba kutajiwa majina mazuri ya asili ya Wakinga ili niweze kumpa mtoto.Napenda majina ya kiasili kama njia mojawapo kuenzi u
Wasalaam wadau wa jukwaa,Naomba kutajiwa majina mazuri ya asili ya Wakinga ili niweze kumpa mtoto.Napenda majina ya kiasili kama njia mojawapo kuenzi utamaduni wetu Thank you in advance for your hel
1. lusano
2 lugataluko
3. anagatalwisye
4. lumanyiro
5. luhovoko
 
Back
Top Bottom