Hilo tukio linaleta nadharia mbili.au tatu;-Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo yawezekana alipewa taarifa kufanya tukio lile.
Kwenye uhalisia wa kawaida kabisa na ikifahamika Mh. Rais atakuwa eneo fulani, huwa ni lazima security channel inafika mapema week au siku kadhaa kabla ya tukio ili kuweka mambo sawa.
Hiyo ni pamoja na kupewa na kufaham ithibati ya eneo husika kujipanga na kutake off ratiba ya tukio.
Sasa siku hiyo sijui mlikurupuka kutoka wapi au hamkujua ratiba ya kutoa sadaka ingefanyika au viongozi wa kanisa walishtukiza?.
-Sina hakika sana na hilo ila bado nasimamia titled yangu, NAPINGA TUKIO ALILOFANYA ASKALI WENU.
Kwenye kurudia namuona waziri mkuu kapitishiwa kikapu na askali wake wakifuatilia je, waziri mkuu hana nguvu kwa mustakabali wa nchi, kwamba hakidhurika haina maana yoyote?.
Je, walinzi hawakupewa taarifa ya utoaji wa sadaka na kujua kikapu gani kitatumika ili wakikague na wale mbwa wao?.
Lakin kwa mtizamo wangu Askari yupo sahihi mkuuNimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo yawezekana alipewa taarifa kufanya tukio lile.
Kwenye uhalisia wa kawaida kabisa na ikifahamika Mh. Rais atakuwa eneo fulani, huwa ni lazima security channel inafika mapema week au siku kadhaa kabla ya tukio ili kuweka mambo sawa.
Hiyo ni pamoja na kupewa na kufaham ithibati ya eneo husika kujipanga na kutake off ratiba ya tukio.
Sasa siku hiyo sijui mlikurupuka kutoka wapi au hamkujua ratiba ya kutoa sadaka ingefanyika au viongozi wa kanisa walishtukiza?.
-Sina hakika sana na hilo ila bado nasimamia titled yangu, NAPINGA TUKIO ALILOFANYA ASKALI WENU.
Kwenye kurudia namuona waziri mkuu kapitishiwa kikapu na askali wake wakifuatilia je, waziri mkuu hana nguvu kwa mustakabali wa nchi, kwamba hakidhurika haina maana yoyote?.
Je, walinzi hawakupewa taarifa ya utoaji wa sadaka na kujua kikapu gani kitatumika ili wakikague na wale mbwa wao?.
Sema watu mnapenda kutafsili vibaya kwa vile amemnyang'a kiaskaliNimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo yawezekana alipewa taarifa kufanya tukio lile.
Kwenye uhalisia wa kawaida kabisa na ikifahamika Mh. Rais atakuwa eneo fulani, huwa ni lazima security channel inafika mapema week au siku kadhaa kabla ya tukio ili kuweka mambo sawa.
Hiyo ni pamoja na kupewa na kufaham ithibati ya eneo husika kujipanga na kutake off ratiba ya tukio.
Sasa siku hiyo sijui mlikurupuka kutoka wapi au hamkujua ratiba ya kutoa sadaka ingefanyika au viongozi wa kanisa walishtukiza?.
-Sina hakika sana na hilo ila bado nasimamia titled yangu, NAPINGA TUKIO ALILOFANYA ASKALI WENU.
Kwenye kurudia namuona waziri mkuu kapitishiwa kikapu na askali wake wakifuatilia je, waziri mkuu hana nguvu kwa mustakabali wa nchi, kwamba hakidhurika haina maana yoyote?.
Je, walinzi hawakupewa taarifa ya utoaji wa sadaka na kujua kikapu gani kitatumika ili wakikague na wale mbwa wao?.
kutokujipanga ndio taratibu za kawaida rasta?Hata wewe ukiwa Rais, utajua kwanini wamefanya vile... Ni taratibu tu za kawaida
Kwa hiyo siku hizi Viongozi ni Bora kuliko Madhabahu?Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo yawezekana alipewa taarifa kufanya tukio lile.
Kwenye uhalisia wa kawaida kabisa na ikifahamika Mh. Rais atakuwa eneo fulani, huwa ni lazima security channel inafika mapema week au siku kadhaa kabla ya tukio ili kuweka mambo sawa.
Hiyo ni pamoja na kupewa na kufaham ithibati ya eneo husika kujipanga na kutake off ratiba ya tukio.
Sasa siku hiyo sijui mlikurupuka kutoka wapi au hamkujua ratiba ya kutoa sadaka ingefanyika au viongozi wa kanisa walishtukiza?.
-Sina hakika sana na hilo ila bado nasimamia titled yangu, NAPINGA TUKIO ALILOFANYA ASKALI WENU.
Kwenye kurudia namuona waziri mkuu kapitishiwa kikapu na askali wake wakifuatilia je, waziri mkuu hana nguvu kwa mustakabali wa nchi, kwamba hakidhurika haina maana yoyote?.
Je, walinzi hawakupewa taarifa ya utoaji wa sadaka na kujua kikapu gani kitatumika ili wakikague na wale mbwa wao?.
Maswali ya maraia tabu sanaNimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo yawezekana alipewa taarifa kufanya tukio lile.
Kwenye uhalisia wa kawaida kabisa na ikifahamika Mh. Rais atakuwa eneo fulani, huwa ni lazima security channel inafika mapema week au siku kadhaa kabla ya tukio ili kuweka mambo sawa.
Hiyo ni pamoja na kupewa na kufaham ithibati ya eneo husika kujipanga na kutake off ratiba ya tukio.
Sasa siku hiyo sijui mlikurupuka kutoka wapi au hamkujua ratiba ya kutoa sadaka ingefanyika au viongozi wa kanisa walishtukiza?.
-Sina hakika sana na hilo ila bado nasimamia titled yangu, NAPINGA TUKIO ALILOFANYA ASKALI WENU.
Kwenye kurudia namuona waziri mkuu kapitishiwa kikapu na askali wake wakifuatilia je, waziri mkuu hana nguvu kwa mustakabali wa nchi, kwamba hakidhurika haina maana yoyote?.
Je, walinzi hawakupewa taarifa ya utoaji wa sadaka na kujua kikapu gani kitatumika ili wakikague na wale mbwa wao?.
Nilichoona mm, Rais alikuwa kwenye hafla ya ghafla, ambayo pengine mwaliko wake aliupata usiku usiku kwa ghafla..kutokujipanga ndio taratibu za kawaida rasta?
kwa wenye Imani thabiti hiyo sio ishu wala nini, ispokua wenye haba 🐒Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo yawezekana alipewa taarifa kufanya tukio lile.
Kwenye uhalisia wa kawaida kabisa na ikifahamika Mh. Rais atakuwa eneo fulani, huwa ni lazima security channel inafika mapema week au siku kadhaa kabla ya tukio ili kuweka mambo sawa.
Hiyo ni pamoja na kupewa na kufaham ithibati ya eneo husika kujipanga na kutake off ratiba ya tukio.
Sasa siku hiyo sijui mlikurupuka kutoka wapi au hamkujua ratiba ya kutoa sadaka ingefanyika au viongozi wa kanisa walishtukiza?.
-Sina hakika sana na hilo ila bado nasimamia titled yangu, NAPINGA TUKIO ALILOFANYA ASKALI WENU.
Kwenye kurudia namuona waziri mkuu kapitishiwa kikapu na askali wake wakifuatilia je, waziri mkuu hana nguvu kwa mustakabali wa nchi, kwamba hakidhurika haina maana yoyote?.
Je, walinzi hawakupewa taarifa ya utoaji wa sadaka na kujua kikapu gani kitatumika ili wakikague na wale mbwa wao?.
Tuchukue mfano huu hapa;Issue ndogo hiyo
Wekanvideo na sisi tuonenndio tutor maoni yetuNimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo yawezekana alipewa taarifa kufanya tukio lile.
Kwenye uhalisia wa kawaida kabisa na ikifahamika Mh. Rais atakuwa eneo fulani, huwa ni lazima security channel inafika mapema week au siku kadhaa kabla ya tukio ili kuweka mambo sawa.
Hiyo ni pamoja na kupewa na kufaham ithibati ya eneo husika kujipanga na kutake off ratiba ya tukio.
Sasa siku hiyo sijui mlikurupuka kutoka wapi au hamkujua ratiba ya kutoa sadaka ingefanyika au viongozi wa kanisa walishtukiza?.
-Sina hakika sana na hilo ila bado nasimamia titled yangu, NAPINGA TUKIO ALILOFANYA ASKALI WENU.
Kwenye kurudia namuona waziri mkuu kapitishiwa kikapu na askali wake wakifuatilia je, waziri mkuu hana nguvu kwa mustakabali wa nchi, kwamba hakidhurika haina maana yoyote?.
Je, walinzi hawakupewa taarifa ya utoaji wa sadaka na kujua kikapu gani kitatumika ili wakikague na wale mbwa wao?.
Hilo ni kosa la watu wa itifaki,kwanza TISS inatambua kabisa moja ya taasisi zenye ma agent wake wengi ni taasisi za dini hasa RC,isingewezekana yule kijana awe kaokotwa tu mtaani awe mtumikinizi meza ya VIP,aliishafanyiwa clearance tayari.Sema watu mnapenda kutafsili vibaya kwa vile amemnyang'a kiaskali
Ujaona video ya kijana umri wa miaka 16 Nchini Wale Kumjeruhi Pastor kanisani kwa kumchoma visu kwahiyo uwezi jua mtu anamawazo gani na kikapu kinaweza kuekewa sumu au kilipukizi.
Kwa mkakati ohoo
Naomba tusifike huko, ila be honestly security yetu bado tuna safari ndefu mnoSecurity ya bongo inani frahishaga kuwachomoa ni simple tu by using sniper kama mtu ana nia kwel
Protocols zipo kila nchi. ila wenzetu hawana za kizamani tena kiasi kwamba unakuta kiongoz hapumui. Focus yao kwa sasa ni geo political na economical threats. Sisi huku wanawaza uchaguziHayo ni mambo ya dunia ya tatu.
Dunia ya Giza.
Wenzao vyombo vya usalama wa Taifa wanapigania uchumi wao wako kwenye mambo ya protocol ambayo wazungu walishayaacha kitambo