Recent content by TimeBomb

  1. TimeBomb

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Wabongo bana mkitaka kupekua hzo mambo....mtajikuta Hamna serikali...na wenye kupasi ni vilaza wa uongozi....
  2. TimeBomb

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    Stress na kick ya show...
  3. TimeBomb

    Ni kweli Michael Jackson aliwahi kuja Tanzania akaishia Airport akisema TZ inanuka?

    Nope....alipita hadi shekilango tulikaa barabarani kumlaki
  4. TimeBomb

    Mike Tyson was overrated

    Khaaaaa..Tyson was greatest of all time
  5. TimeBomb

    Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Mmmh...acha fix ww Uislamu umeamrisha mwanamke kujistiri haijalishi uwe muarabu au mmakonde..!!
  6. TimeBomb

    Misongi mikali ya Kihindi ya zamani

    Kal hona Ho...
  7. TimeBomb

    Wanawake mnataka nini ili mtulie?

    Hainaga ushemeji tunakulaaagaaaa....Zamu ya nani leo Zamu Ya ManFooongo...Zamu yako itakuja kesho usikonde bahari waaangu...
  8. TimeBomb

    Huyu ndiyo Obama bhana, First Black President!

    Obama sio Black ni Coloured....black ni km Lupita
  9. TimeBomb

    Kwanini Mrisho Mpoto havai viatu?

    Kwa sababu anajifananisha na Sokwe..
  10. TimeBomb

    Magufuli weka probation kwenye system...!

    Hii nchi imeoza Mh. Rais kuhusu majipu hadi unamaliza miaka yako 10 hutayamaliza, Madudu ni mengi na Issue ni Mindset ya kila mtanzania ndio iko affected na mauozo na tumeyahalalisha na kila mmoja anawajibika kwenye sehemu yake... USHAURI: JPM atoe probation ya maybe 6 months ya kila mtu...
  11. TimeBomb

    Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

    Huu ni Undezi ss ww mijitu 770 imecomment unataka ujibu wote mtawalishia familia zao kwa maana siku nzima akae anawajibu tu....Acheni Upompompooopo mjiongezeeee....
  12. TimeBomb

    Home of AC Milan, Official Thread

    Hah hah ha hah ahaaah dah nianze kwa kicheko kilichojaa dharau na kebehi kisha nashushia na Bia aina ya Peroni inayopatikana kila Bar au Night Club au sehemu yoyote ya anasa katika jiji la Milan. kikubwa kinachonichekesha ni kitendo cha makusudi cha washabiki wa soka wa siku hizi kujitia...
  13. TimeBomb

    Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

    ....Hv vitu viko wazi kama vazi la kahaba/nasambaza maradhi hlf nakupa siku saba/machozi ni haba/ uokozi ni njozi baba/... Kunyonya Damu kwa hamu/Dogo Mwanaharamu/Kalamu inamwaga damu/nakuacha mweupe km mkorogo/chata km wagogo.. Shadow Of the Darkness - Hashim Dogo
Back
Top Bottom