Recent content by The Listener

  1. The Listener

    Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

    OK wasalimie usukumani tutakutana mwisho wa msimu kumjua konokono ni nani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. The Listener

    Naona tetemeko limecharuka kupita

    Nimeyahisi yote mawili Sent using Jamii Forums mobile app
  3. The Listener

    Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

    Wasipoisema wataiota tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. The Listener

    Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

    Ukumbuke hata wao wanasogea Sent using Jamii Forums mobile app
  5. The Listener

    Roho mbaya ya korosho isikie tu. Hadi jeshi limeshindwa

    Ukitaka kulishangaa hili kende wewe jiulize kwa nini lenyewe halijaungana na mwili moja kwa moja ! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. The Listener

    Roho mbaya ya korosho isikie tu. Hadi jeshi limeshindwa

    Yaani uvurumishe rungu kwenye kende kisa mbua katua. Thubutuuu. Hayo ni matumizi mabaya ya maumivu. Maumivu Peleka sehemu stahiki tena kwa sababu maalumu! Kama mionzi na kansa !! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. The Listener

    Nasikia dada umetelekeza korosho tani 50 kulinda ukuu wa wilaya

    Ndo muwe mnatuwekea details za kutosha kwa sisi tusioelewa
  8. The Listener

    Biashara magendo ya fedha za kigeni inashamiri kwa kasi !

    The best solution ni kuhakikisha inawekea mifumo sahihi na thabiti ya kuzuia biashara hii ya magendo kwani kwa asili binadamu kaumbwa na ubinafsi. Sheria, taratibu, kanuni na miongozo viliwekwa ili kudhibiti mienendo ya mwanadanu ikiwemo ubinafsi
  9. The Listener

    Nasikia dada umetelekeza korosho tani 50 kulinda ukuu wa wilaya

    Yaani unatakaje niamini uzushi na hajawa muwazi!! Inakuwaje taarifa hizi nyeti za kumsaidia Mh. Rais unaziandika huku ukiwa na hofu kama Si uzushi na uvumi ni nini. Wewe mwambie mwenzio atueleze kiunagaubaga ni nini hasa na kafanyaje huyo Mheshiniwa (details) Mimi ni mwanakusini halisi wa...
  10. The Listener

    Nasikia dada umetelekeza korosho tani 50 kulinda ukuu wa wilaya

    Kivumishi acha kuvumisha. Unamaanisha nini sasa?
  11. The Listener

    MEMBE ALONGA: Ashangazwa na namna alivyoitwa na Bashiru, amuita Musiba mwongo, mzushi na mfitini

    Naona tunaelekea kuingilia faragha za watu. Kwani wewe mida hii uko wapi na unafanya nini?
  12. The Listener

    Geita: Marufuku mtumishi wa umma kuvaa suti. Utavaa siku akija Rais au uwe mgeni rasmi tu

    Na suti sharti iwe aina ya Kaunda na kitambaa sharti kiwe cha Kaniki!!
  13. The Listener

    Mnaijeria wenu ana bahati sana ameomba pooo mapema kwa Simba SC kwani tulichokuwa tumemuandalia angesimulia Kwao!

    Mbona unawasingizia wenzako. Hao Mazembe si ukawaambie yanga wawachape!!!!!
Back
Top Bottom