Askofu Benson Bagonza (PhD): Mandela na Mbowe ni sawa, maana mbinu alizoshugulikiwa nazo Mandela na Wakoloni ndio Mbowe anashugulikiwa nazo

Mbona wanasiasa wanatumia siasa kuhubiri injili
Two wrongs don't make a right.Kanisa ni Nuru ya ulimwengu wanasiasa wanatakiwa waige kanisa sio kanisa liige wanasiasa wanachofanya!!!!!!!! Mwambie huyo askofu koko
 
Kumjua nabii wa uongo au askofu wa uongo Yesu alisema mtawatambua kwa matendo yao sio maneno yao Bagonza kazaa na malaya sio askofu hata aongee maneno mazuri vipi hapimwi kwa maneno bali matendo
 
vipi Na Uzinzi Unaendelea kwenye maisha yake huyo askofu koko hautakiwi kusemwa
Watu wanaongelea fact wewe unaogelea kwenye tetesi.
Ujasiri wa kukemea maovu sii kipawa hapana! Ni maisha. Mtu safi automatically ana nguvu za kukemea lakini asie safi hujuficha nyuma ya pazia hata kama kuna uovu unaofanywa mbele zake. Anaogoa kuusemea akihofia na yeye kuwekwa wazi.
 
Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?
Mkweli kwenye kuonewa? Au umesahau kesi ya msingi ni wao kusababisha kifo cha Aquilina baada ya mkurugenzi Kinondoni kuwanyima mawakala wa chadema hati za viapo vya usimamizi wa uchaguzi? Kama siyo ukandamizaji kwanini huyo Mkurugenzi hakuadhibiwa kwa kosa hilo? Kama siyo ukandamizaji kwanini lisionekane kosa polisi kufyatua risasi za moto kwa raia wasiokuwa na silaha?
 
Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?
Poor reasoning
 
View attachment 959204

Maneno ya Baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
"Japokua Mbowe ni tofauti na Mandela, lakini mbinu za kumshughulikia Mbowe zikifanana na zile zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa. Na kwa hiyo waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja" (si nguvu ya dola).!

Hahaaa mambo mengine basi Tu.
 
kama kweli maneno haya yametolewa na Askofu nampinga kwa sababu dhamira ya Mandela kuwakomboa waafrika mpaka kufungwa ni ya dhati ila dhamira ya mbowe imejaa siasa
Tupe maelezo kidogo ya neno siasa? Leta neno ukombozi kama unaweza yatofatisha sisi wasomaji tuelewe.
 
Askofu Bagonza amenogewa na attention anayopata.. Anakomenti kisiasa sana..

Akumbushwe kuwa Wanasiasa wana michezo michafu, asije kulia lia tu huko baadae watu wakiamua kucheza nae..

Tupo!
 
Acheni masihara, yaani huyu aliyeuza chama na mlolongo wa hela kwenda Hong Kong kuonekana?! Yaani huyu anayewalamba kinadada/kinamama wabunge wa kuteuliwa?! Yaani huyu aliyemuambaruti Wema na sauti kusikika?! yaani huyu anayewalipisha wabunge wa kuteuliwa laki tano kila mwezi?! Yaani huyu anayewasambaratisha wapinzani wa cheo chake hata kuwatoa roho?!
Kuna mambo ya kumfananisha na Mandela lakini siyo ya mwenyekiti wa kudumu walahi..
 
Askofu umekula maharage ya wapi.. Hiyo PhD ulisomea ujinga? Usimfananishe Mandela na vitu vya hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom