Recent content by St. Paka Mweusi

  1. St. Paka Mweusi

    Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

    Colonialism planted seeds of its own destraction..
  2. St. Paka Mweusi

    Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

    Tunawazidi wazanzibari katika kulalamikia muungano..??
  3. St. Paka Mweusi

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Huo ulikuwa ni mkataba kati ya Wajerumani na Sultani.. Sisi hautuhusu..
  4. St. Paka Mweusi

    Kwanini unaishi Dar es salaam?

    Mi mwenzenu nikisafiri toka Dar kwenda mkoa mwingine mwili unaniwasha kama nimemwagiwa upupu.. Nikianza safari ile kufika hapo Kibaha tu muwasho unaanza .. Mwaka jana nilikuwa Kanda ya ziwa kwa miezi miwili nimerudi Dar Nina ukurutu mwili mzima.. Bora nijikalie Dar tu kuepuka mateso..
  5. St. Paka Mweusi

    Katika hali yoyote, Mwizi sio wa kuonewa huruma

    Wapuuuzi sana hawa jamaa.. Waliniibia kuku wangu wa kienyeji Banda zima.. Wakaacha vifaranga tu.. Hata sijui walimwachia nani..??
  6. St. Paka Mweusi

    Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

    Wanatuonaga hatuna akili hawa watu.. Tunaona na kushuhudia maovu yao.. Kila kitu bei juu.. Hata sijui wanadhani wanamdanganya nani..??
  7. St. Paka Mweusi

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Uzee hauna mahusiano na tendo la ndoa.. Mdororo wa afya ndio unaweza kumfanya mtu ashindwe kushiriki tendo
  8. St. Paka Mweusi

    Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

    Wakati jamii nyingine zinahaha kutengeneza Family owned business empires sisi ngozi nyeusi ndio tunakazana kuchukia na na kutengana ikiwemo kubaguana.. Kweli aliyeturoga kafa..
  9. St. Paka Mweusi

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Hawa jamaa wananifurahisha sana. Ukiwakuta pale Mbezi wao huwa wanasimama kwenye mstari ulionyooka wakisubiri daladala za kwenda kwao.. Hata kama hakuna daladala ila wao lazima wasimame katika msitari. Siku ya kwanza nilipowaona nilidhani wamerogwa.. Maana si tabia za watu wa Dar hizi..
  10. St. Paka Mweusi

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Asanteni sana kwa mawazo yenu mazuri .. Nimemuonyesha uzi huu muhanga wa kunyimwa.. Alipoenda kwa mkewe amenipigia simu mkewe ameomba apangiwe ratiba ya tendo hilo ambayo ameahidi kuitimiza.. Hata sijui muhanga wetu ametumia ushauri wa nani ila asanteni wote kwa mawazo yenu..
  11. St. Paka Mweusi

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Watu wanatofautiana mitazamo kka.. Mwingine anaona kama matumizi ya nguvu ni ubakaji..
  12. St. Paka Mweusi

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Hana shida nyingine yoyote kuhusu business na kazi zake.. Shida yake ni tendo la ndoa kwa mkewe tu
  13. St. Paka Mweusi

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Tlaatlaah, Ngoja nii screenshot hii post yako nimtumie huyu bwana kwa whatsapp kama ilivyo..
Back
Top Bottom