Search results

  1. St. Paka Mweusi

    Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Asante sana mkuu.. Ndio maisha..
  2. St. Paka Mweusi

    Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Kwa kuwa umeulizia biashara yangu naomba nikujibu tu kuwa nimefilisika.. Mtaji umekata na sasa nimerudi kuajiriwa..
  3. St. Paka Mweusi

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Watatajana tu
  4. St. Paka Mweusi

    Ups and down miaka 8 ya kubet (addiction) bila ya mafanikio

    Betting ni Uraibu.. Ni Uraibu unaotibika.. Sijui kama hapa kwetu vipo vituo vya kutibu watu wenye Uraibu huu.. Ila mimi nilishindwa.. Kila anayebet unamsikia Dah Man U kanichania mkeka.. Nikajitahidi kuwatafuta wanaoshinda sikuwapata.. Nikajionea ujinga huu bora hela yangu nikavutie bangi..
  5. St. Paka Mweusi

    Nawakumbusho: MAGUFULI DAY ni kesho

    Mimi hapa machozi yananibubujika.. Kila nikifikiria kesho ya watoto wetu.. Nazidi kutokwa na machozi.. Tumaini lote lililoanza kujengeka limepotea kama moshi upoteavyo angani
  6. St. Paka Mweusi

    Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

    Yaani shida ya wasiomla huyu mdudu ni kutunga uzushi kila siku.. Huyo aliyekutwa na minyoo anaitwa nani..?? Anatokea state gani huko America.. Alikuwa hospitali gani..?? Usitutishe na hekaya zako za mashariki ya kati..Yaani hata kama ni kweli amekutwa na hayo mayai ya minyoo ndio niache kula...
  7. St. Paka Mweusi

    Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Nilimsoma mwanajf mmoja akisema kuwa kule tulipeleka Mwili.. Tukaambiwa huyu hatunaye.. Hatukukubali.. Pipa likaungurumishwa kuelekea Kwa mabaniani.. Walipokuwa hewani wakashauriana na kukubaliana kuwa wanajisumbua na kumsumbua na walichoambiwa pale alipokuwa amelazwa hasimu wake ndio kulikuwa...
  8. St. Paka Mweusi

    Tendo la Ndoa kwenye Mahusiano

    Sio dem.. Ni mke.. Tofautisha dem na mke..
  9. St. Paka Mweusi

    Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

    Nimecheka mpaka mke wangu kanishangaa..😃😃😃😃
  10. St. Paka Mweusi

    Watanzania hawastahili kupiganiwa, wanastahili kupigwa

    Watu wenyewe ndio hawa wanaoongelea Somba na Yanga kila kukicha.. Tena wapigwe tu.. Ikiwezekana wauwawe hawana mana kabisa..
  11. St. Paka Mweusi

    Tendo la Ndoa kwenye Mahusiano

    Nishazungumza mpaka nimechoka.. Nimeamua kuwa mchepukaji sugu tu..
  12. St. Paka Mweusi

    Tendo la Ndoa kwenye Mahusiano

    Na sisi tunaonyimwa hilo tendo unatushauri nini..??
  13. St. Paka Mweusi

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Mapumbavu yaliyoshindwa siku zote hutafuta wa kumlaumu au sababu ya kuhalalisha kushindwa kwao .
  14. St. Paka Mweusi

    Lini wasiokunywa pombe wataheshimiwa bar?

    Hivi kwani Bar kunakuwaga na heshima..??
  15. St. Paka Mweusi

    Paul Makonda ni Karata ya muhimu kwa Rais Samia kuelekea uchaguzi wa 2025

    Nimependa hapo kwenye loopholes.. Hebu atokee basi mgombea mwingine tupumzishwe na Kizimkazi..
  16. St. Paka Mweusi

    Kusema kweli Magufuli alikuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Nitakulilia mpaka mwisho wa Uhai wangu Mwamba JPM.. Ulijaribu kutengeneza kesho ya watoto wetu.. Kabla haujamalizia ukadhulumiwa.. Nina imani kuwa atatokea kama wewe siku moja japo si katika uhai wetu ila ipo Siku atatokea.. RAHA YA MILELE UMPE E BWANA. NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE...
  17. St. Paka Mweusi

    Uhusiano kati ya mwaka 7000BC na wewe unae soma Uzi huu

    Leo hii tunafundishwa kuwa ancestors wetu ni mizimu na ndio kikwazo cha mafanikio yetu..
Back
Top Bottom