Recent content by Sir

  1. S

    Nimsaidieje ndugu yangu na Kansa inayomsumbua

    Naomba msaada hata wa mawazo niweze kumsaidia ndugu yangu ambaye kansa inamsumbua Mwanzo ilikuwa breast cancer, surgery ikafanyika ocean road hospital ikifuatiwa na matibabu mengine kama chemotherapy na mionzi. Baadae ikagundulika kuwa sehemu nyingine kama ini vimekuwa affected na akaanza...
  2. S

    Secondary School Teacher available

    I have my relative who is the Secondary School Teacher, has a diploma, specialised in Kiswahili and English subjects although not limited and wants to teach Private schools in Dar es salaam. Please let us know if your school needs one or you have any information as far as the above is concerned.
  3. S

    Naomba Msaada wa tiba ya asili ya kansa

    Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
  4. S

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    February 20th "You Measure The Size Of The Accomplishment By The Obstacles You Had To Overcome To Reach Your Goals" -Booke T. Washington February 21st "In Order To Succeed You Must Fail So That You Know What Not To Do The Next Time."...
  5. S

    Bomb scare at Kempinski?

    Nimesikia habari hizi juu juu, kwamba jana kuna mlipuko ulitoke pale Kilimanjaro. Naomba mwenye habari ya kilichotokea atufafanulie
  6. S

    applikasheni letta

    who is the best in coparison with Maximo?
  7. S

    Tumaini Hospital

    Tumaini Hospital ninayoulizia ipo Dar es salaam, Karibu na Makao makuu ya Jeshi Lugalo, Upanga. My concern ni kukutana na Dr. Yongolo
  8. S

    Tumaini Hospital

    Mwenye namba za simu za Tumaini hospital naomba anisaidie ikiwezekana na pia kupata namba ya simu ya specialists wa mgonja ya njia za mkojo hasa kwa wazee na matatizo mengine ( urologists) Nataka kuweka apointment kwa ajili hiyo
  9. S

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Atakwetwekeilemu ati teneka
  10. S

    Ufisadi si kuchukua pesa tu

    Kumekuwepo na tabia ambazo hazifai katika jamii ya watanzania na wengi tunaangalia tu bila hata kujiuliza ni kwa nini. Kwanini mtu ajifikirie yeye ni muhimu kuliko mtu mwingine hasa katika kupata huduma ambazo ni muhimu kwa kila mtu? Mara zote nikienda kwenye ATM naona watu wamekuwa wastaarabu...
  11. S

    Msaada wa kuachana na my wife

    Pole sana kwa yaliyokukuta, Kwa kuongezea kwa yote yaliyosemwa hapo juu, tafuta muafaka vinginevyo mtoto atateseka na nina imani hatawasamehe akija kujua kwamba mlimtelekeza boarding simply because ya unyanyapaa uliojificha katika imani. Hii dhana inayoinyemelea jamii ya kuokoka ni hatari kwani...
  12. S

    Lugha zetu ni mali ya kujivunia, ni Ujinga Kuzikwepa

    Nimekuwa nikilichunguza jambo hili ninalotaka kuzungumzia muda mrefu lakini limekuwa linanipa shida kuelewa ni nani wa kubebeshwa lawama au la. Siku za hivi karibuni, kundi kubwa la watu hasa vijana wameamua kutokuwa na lugha wanayoifahamu kwa ufasaha wakijifikiria wao wanaenda na wakati sijui...
Back
Top Bottom