Recent content by shashula

  1. S

    Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

    uzuri wa udaktari ni kwamba unsaidia watu tu. ila kiukweli hakuna program ya ajabu kama hiyo kuanzia kwenye mzingira ya kazi na majukumu yake pia serikali hajatoa motisha za kutosha katka hiyo kada japo inafanya kazi nzito na yenye changamoto nyingi lakini pia kwenye kujiajiri ina tija lakini...
  2. S

    Udaktari unalipa?

    inategemeana japo kwa sasa soko la radiology n bora kuliko MD . kuanzia kujiajiri hadi kusajiliwa.
  3. S

    Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

    shauri yake asije kusema hatukumuambia ila mm narudia tena dogo nenda ukasome CO
  4. S

    Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

    dogo una wazo zuri la kujiendeleza ila nakuomba usijidanganye kusoma form 5&6 tena PCB. achana kabisa na hilo wazo litakuja kukugharimu sana . kama lengo lako n kuwa md nenda kasome CO utajiendeleza ukihitimu na usiende kupambana na PCB . nakuasa huyo jamaa anayeitwa PCB siyo rafiki mzuri sana...
  5. S

    Bachelor of law and its marketability

    Kwa hesabu ya haraka ukienda kusoma md utasoma kwa miaka 5. Kwa ghara ya ada 6.5mn kwa mwaka ,miaka 5 utatumia 35mn kama ada kujumlisha na hela ya pango na meal nadhani utamaliza masomo umetumia 60 hadi 70 tuchukulie unasoma KAIRuki. Sasa hapo utatumia mda mwingi na hela nyingi tofauti na law...
  6. S

    Udaktari unalipa?

    Ikitokea ajira kati ya sheria na daktari wakaajiriwa pamoja n yupi ambaye atakuwa na mafanikio katika nyanja ya uchumi na maendeleo kiujumla maana naona hizi fani 2 watu tunashindwa kuzielewa ipi n bora ya nyenzie Karibuni. Ngazi za graduates
  7. S

    Napenda kufahamu mazingira ya chuo cha RUCU

    Mwenye kuyaelewa pia mazingira ya stella Maria university mtawala anipe tips zake
  8. S

    Udaktari unalipa?

    Career na swala la kiuchumi zaidi kwa sababu ili ujiajiri kwenye afya gazi ya kituo cha afya mtaji c chini ya 50m . Tofauti na law mtaji ni kidogo sana
  9. S

    Udaktari unalipa?

    Huu n uwanja wa kushauriana n kozi ipi ambayo n nzuri kuanzia kuajiriwa hadi kujiajiri mkuu ila afya hapana nimeitumikia nimetosha. Nahitaji kwenda kwenye field nyingine
  10. S

    Udaktari unalipa?

    Private radiology diploma analamba had 1.2m compare with mda 8.7m had 9.5 m serikalini .
  11. S

    Udaktari unalipa?

    Lakini ebu tushauriane kidogo wadau mm kuna kitu kinanichanganya kabisa . Kwa mwajiriwa wa serikalini tamisemi akisoma BACHELOR OF law haiwezi kumlipa ? Anahama idara kutoka afya kwenda sheria . Sababu za kufanya hivyo n kwa sababu kujiendeleza katika fani ya udaktari n gharama kubwa sana kwenye...
  12. S

    Diploma ya dental na Radiology

    Nenda radiology haraka sana wala usiwe na ukakasi ina uwanja mpana wa kujiajiri
Back
Top Bottom