Recent content by SEROTHERAPY

  1. S

    Wakuu naombeni ushauri, Mdog wangu kasoma masomoya sayansi anataka Utangazaji

    Mbona hujakamilisha kwani kasoma masomo matatu tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    TAMISEMI yatangaza ajira 6,180 kada ya afya

    We dogo ujielewii kabisa asee kwani tangazo ujaliona nasioo mtuu kakuuliza niwewe mwenyewe health expert gani usiejielewa au ndo KAM college
  3. S

    Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Hahahaha dogo umenikumbusha mbali sudy anaroho mbaya sana physics alikuwa yule jamaa ambae neno moja anarudia kwa dk 15
  4. S

    Matokeo ya awali kwa waliochaguliwa kujiunga vyuo vya afya

    Duuuu join instructions mtatumiwa Kwa profile zenu na uyoo dogo BRN aombe chuo kingine akubalii kashindwa competition
  5. S

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Angalienii uchaguzi wenu wa vyuo kuna vyuo mbuzi sana skuizii ukiona umekosa chuo cha government unatabu asee ajira zikitoka wale wa vyuo mbuzi hutoswa nadhani mnavijua vyuo vipokimaslahii havina hospital kubwa karibu na chuo chuo kikifundishwa baadhi ya magonjwa kuyaona mbaka wapande gari...
  6. S

    Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

    Hahahahahahah jamaa sio mtumzuriii ilaa ndoukweliiii
  7. S

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Hahahahahaha daaaa ukomoto sanaasee hayaa bhana
  8. S

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Kakaaa mkuu chekii kwenye Gmail yakoo sehemu inayoitwaa spam baada ya kutumia laptop au desktop tuu ila kwa handphones izii kwelii hazina nguvu za kuleta majibu ya new password yakoo nenda kwa device kubwa ka laptop au desktop uka request for new password afuu ingia kwa Gmail yakoo utaona sms za...
  9. S

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Duuu sema ni vizurii piaa kujua password ingawa ulishaaply sababu kuna wakati wanawatosa watuu na kuwataka waaply upya tuliza akili au kavipi nipe email yakoo nkusaidiee kijana yakitokea ya kuapply mara ya pili hapoo lazima udate maana hutakiona hata chuo kimoja cha government ntumie email yako...
  10. S

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Mliosahauu password zenuu nendeni forgot password?? Afuu mrequest fo new one alafuu nenda kwenye email yako sehemu inaitwa spam utaona email mpya waliokutumia nacte
  11. S

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Duuu mbona afya wamefunga inakuaje tena na mbona wanazingua watu na mwisho tarehe 16 daaa hii bongo bhanaa
  12. S

    IMTU imeruhusiwa kudahili?

    hahahahhahahhhah we antibiotic hahaha mathematician nomasanaaa umeniuaa hahaha
  13. S

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Hahahahahaha ayoo mazegedyee yao tuu vijana
Back
Top Bottom