Recent content by selemangrace346

  1. selemangrace346

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Amini kwamba haijaisha mpaka iishe,Jamaa ataendelea kukutafuta na possibly atakufanya mbaya...Msaidie huyo dada apate Talaka ili apate japo vi mali kdgo...Usijichanganye ukaanza kuishi nae mapema hv issue bado ya moto aseee utapakiwa mkongo hutaamini
  2. selemangrace346

    Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

    Nisiwe mzungumzaji sana bt Muungano huu una kasoro nyingi sana.
  3. selemangrace346

    Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

    Serikali i officilize tu tupate na kodi.. wafungiwe meter kwenye vikojoleo ili kujua viwango vyao vya matumizi.
  4. selemangrace346

    Wataalamu wa kutafsiri ndoto

    Thanks wakuu kwa michango yenu,let me take it seriously.
  5. selemangrace346

    Wataalamu wa kutafsiri ndoto

    Wakuu kwema? Sitaki kuwachosha naenda straight kwenye point Ni muda mrefu sasa nimekuwa nkipata ndoto ambayo imekuwa ikijirudia mara kwa mara ikinihusisha na mambo ya darasani hasa hasa huwa naota npo kwenye chumba cha mtihani na katika chumba hicho mara nyingi huwa nakumbana na matatizo mengi...
  6. selemangrace346

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Mkuu nashukuru kwa ushauri wako mzuri!
  7. selemangrace346

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Wakuu naombeni ushauri kidogo...mm ni mwalimu mwenye Elimu ya diploma na nmeamua kijiendeleza ki masomo na by now nasoma Accounting and finance mwaka wa mwisho...Shida yangu ni kutaka kujua ni Department gan inafanya vizur saiv kati ya Uhasibu au ukaguzi wa ndani(Internal audit) katika level ya...
  8. selemangrace346

    Mliochomwa Sindano za COVID-19 mnaendeleaje?

    Binafsi nilipata chanjo... I am doing great.
  9. selemangrace346

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    +255743741234..Ni moja ya mawakala bora sana
  10. selemangrace346

    Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

    Bt kwa akili ya kawaida tu how comes 2600Megawatts ziongezeke then bei isishuke jmn,I wish angekuwepo chuma...yan watu huku umeme ushakuwa wa kuwashia taa tu hata kutumia pasi inaonekana ni anasa kwa sababu ya gharama kubwa ya umeme.
  11. selemangrace346

    Nina 250,000/= unanipa TV aina gani?

    Wadau kama Uzi unavojieleza,nina hitaji TV ,je kwa offer hiyo unanipa tV aina ipi na inchi ngapi?
Back
Top Bottom