Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Kivyovyote vile huyo jamaa hatokuacha salama.. kiufupi jiandae kuliwa jicho
Ajiandae na ukilema wa Kudumu mimi namfaham jamaa nitamsaidia kumpeleka kwa sangoma ili iwe fundisho kwa wengine ulikuwa unajidai na mkewe yeye anahangaika kutafuta wewe unamlia mkewe na hela zake juu ktk hili mimi lazima nimsaidie rafiki yangu. Wewe na huyo mwanamke lazima mnyooshwe na dunia ili iwe fundisho.
Afadhali ungekuwa hujui kuwa ni mke wa mtu lakini hata ulipojua ulizidi kumuumiza mwanaume mwenzio. Kibaya zaidi hata mlipogundua kuwa amejua bado mlishirikiana na huyo mwanamke kumuumiza rafiki yangu. Hakuna namna lazima na nyinyi muumie tu.
 
jamaa alijua atasifiwa na wana, pyuuuuu ukaharibu familia ya mwenzio kisa nyege tu, watoto wa jamaaa watakuita wewe mama mbwa kabisa
 
jamaa alijua atasifiwa na wana, pyuuuuu ukaharibu familia ya mwenzio kisa nyege tu, watoto wa jamaaa watakuita wewe mama mbwa kabisa
Nilikuja kutafuta ushauri sio matusi, Mungu akusamehe najua kuwa nimekosea na sikutegemea sifa.
 
Huyu MUngu unaemtaja bila sababu ni yupi, Mungu wa mbinguni asingekufanya ufanye uzinzi in the first place. Achana na mungu wetu we nenda kaabudu miungu wako wengine.
Mganga yupo kwa ajili ya wagonjwa.
Mungu yupo kwa ajili ya wenyedhambi sio wewe mtakatifu. Mungu akusamehe. Akhsante kwa matusi yako.
 
Amini kwamba haijaisha mpaka iishe,Jamaa ataendelea kukutafuta na possibly atakufanya mbaya...Msaidie huyo dada apate Talaka ili apate japo vi mali kdgo...Usijichanganye ukaanza kuishi nae mapema hv issue bado ya moto aseee utapakiwa mkongo hutaamini
 
akhsante kwa ushauri mkuu.
 
simu hiyo alikuwa ameihack achilia mbali normal sms and calls, hata chatting za WhatsApp alikuwa anaziona na kuzisoma. Jambo hili lilinishitua sana maana nilijua atakuwa amenasa pia picture zangu tunazotumiana na mkewe hivyo kudakwa ni suala la muda tu.
Hadi hapo nakushauri jiandae tu kuwa mke wa pili ya Baba Jay....hataakuacha na malinda kwa hakika!
 
Oooops Dah sijui jamaa yuko kwenye hali gani jamani jamani jamani mke anauma sana mwanangu UMEZINGUA SIO KIDOGO aaaargh mi ningekusaka mzee TUMALIZANE SIO KIZEMBE TU IVO
 
Back
Top Bottom