Recent content by scot mcomic

  1. scot mcomic

    Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Aramun vp kanmoor yupo arthdal bado au😂😂
  2. scot mcomic

    Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Nimeshindwa kupig show mara 5 mfululizo ngoma inaamk nikitak tu kuwek Ina lala hii ndo yangu😭😭
  3. scot mcomic

    Naumia sana Mtu wangu wa karibu akifanikiwa, inanidhoofisha mwili

    Mm pia ni kama ww mkuu lakini ww umezidi mm Huwa inaniuma sana rafiki zangu wakipata fursa za kupata Hela alaf mm nikose Huwa inaniuma sana kwann wao sio mm ila swala la kuwaombea wafilisike sijui wapoteze kazi mm hapana
  4. scot mcomic

    Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    WAKUU SIJUI NI MTEGO KAMTUMA RAFIKI YAKE AJE KUMUOMBEA MSAMAHA LEO NIKAMJIBU KWAN HAWEZ KUJA MWENYEW WAKAT TUNATOK KAZIN KANIFWATA ET ANAOMBA MSAMAHA SASA WAKUU NIMSAMEHE AU NIMTESE KWANZA
  5. scot mcomic

    Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Hukuhuku kukatishw tamaa hukuhuku kutiwa moyo jf bwan
  6. scot mcomic

    Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Na kweli unawez mshaur mtu kushoto akaenda kulia
  7. scot mcomic

    Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Una njia rahisi mkuu🙏🙏
  8. scot mcomic

    Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Nilivy muelew yaan mda mwingine mnaweza pasha kiporo
  9. scot mcomic

    Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Inaonesha mpo mbali mbali
  10. scot mcomic

    Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Sikuhudhuria kikao hicho jaman
Back
Top Bottom