Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

Madame ktk ubora wako 🤣🤣🤣
Japo wapo wanaokuja kwa masuala ya msingi, ila wengine wanaboa sana.
Sisi wengine hatuwezi kufunga Pm zetu maana ndio ofisi zetu na vibaraza vyetu wakati mwingine na zaidi kuna masuala ambayo hatuwezi kupeana namba za simu zaidi ya Pm, ila ndio hivo hakuna namna.
Tunaishi kwenye jamii tunayoivumilia sana Lamomy
 
Nafikiria kuachia piemu yangu wazi, nicheke na wana wa Israel ila lazima watanitibua tu. Najua akili zao zilivyo na ukorofi.

Ila mimi nakupenda unanipa burudani sana, vipi ule mzigo ushafika?? Dejane shosti ww uliletewa wako? 😜
 
Back
Top Bottom