Recent content by sblandes

  1. sblandes

    Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

    Yawezekana mambo mengi yamechangia,nadhani ubongo wake umeingia disputed mode. Utadhani walimpandikisa chip ya kumvuruga,Belgium ni mabingwa wa unyama uliokubuu,waliua milioni 15 za wakongo kwa amri ya Mfalme wao King Leopold,baadae ilimkaanga hadi akayeyuka Waziri mkuu wa kwanza wa Kongo...
  2. sblandes

    Ni kwanini ujenzi mkubwa au miradi mikubwa wanapewa wageni sio wazawa?

    Wakati mwingine wakandarasi wazawa wanakosa ushirikiano wa dhati. Kwa mfano mmoja wao kashinda tender ampe sub contractor mkandarasi mzawa mwenye sifa fulani kwenye mradi.Kwa namna hiyo watamaliza kazi katika muda uliopangwa na kuaminika kupewa kandarasi nyingine.
  3. sblandes

    Ni kwanini ujenzi mkubwa au miradi mikubwa wanapewa wageni sio wazawa?

    Wazawa walio wengi kwanza hawajiamini. Pili wakipewa fedha za mradi wanakimbilia kwanza kununua magari ya kifahari badala ya kununua nyenzo za mradi. 3.Miradi mingine upewa kama sehemu ya kuficha maovu ya wakubwa,miradi hewa.Inawaharibia CV. 4.Matumizi mabaya ya fedha yanasababisha poor...
  4. sblandes

    Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

    Rushwa imechangia kwa kiasi kikubwa.Pili upeo mdogo, wewe ni msimamizi unamsimamia mkandarasi,unamwita SIr hata akivurunda,hii inferiority complex inatugharimu. Wataliani ni mafundi wazuri hasa wa madaraja wanaposimamiwa na mtu anayejitambua kama Mwingereza.Lakini Wataliano hao hao wakisimamiwa...
  5. sblandes

    DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    Nilikuta DP World Singapore wana Ship dry docking and ship repair Business .Wako vilevile Indonesia.DP imekuwa kama Coca-Cola their spreading very fast globally. Kitu muhimu kama taifa ni kuhakikisha wanufaika kwa mapana ni wananchi kwa ujumla wetu,kitekinologia,ajira zenye...
  6. sblandes

    Odinga ataka kifo cha General Ogolla kichunguzwe haraka kwani Wananchi Wana hofu ameuawa!

    Ground all military choppers and make throughly technical investigation on incidents and accidents of those choppers. It might be poorly maintained and operated.
  7. sblandes

    CCM-Simiyu wakerwa na Mpina kutaka uchunguzi wa kifo cha Magufuli. Wamtaka aache

    Mpina ajitathimini,kama kweli amelitelekeza jimbo lake kama asemavyo Mwenyekiti wake,basi ubunge wake kupitia CCM utaota mabawa 2025 jina halitarudi.
  8. sblandes

    Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Uraisi siyo sweet dreams,na kwa mfumo upi wa kuwachagua? Ukiondoa Mwalimu Nyerere tumekuwa tunapata surprise ya viongozi wakuu,labda Kikwete alipousaka uraisi mara ya pili. Kwa vyama vya upinzani navyo vinapitia changamoto ya uchanga,mtaji mdogo,na CCM kutokubali upinzani kushiriki siasa za...
  9. sblandes

    Doto Biteko mwanasiasa asiye na kiburi

    Mkuu huyu sio muumba,ana mapungufu mengi tu,pammoja kuwa na Phd hajaiva,is short sighted, is just a cadet,means a students Especially kwenye offshore oil exploration. Tumsaidie kwanza ili asije kuleta maafa period.
  10. sblandes

    Serikali yatoa Tsh. Bilioni 66 Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    Mkuu Mjomba Magu alikuwa anasema katoa.........,mko kimya,leo Mama yetu anatoa kamili plus mnakasirika?Acha unafiki.Mlikuwa mnasifu hata nonsense issues kama Madagascar drug pammoja na kuitwa profesa aliehitimu Germany. Tanzania ni wanafiki. Mama Piga kazi tupo nawewe.
  11. sblandes

    Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Haya yote tumemuachia Mungu. Wapinzani wanapata zero kwenye kujaza fomu za kugombea uwenyekiti wa mitaa nchi nzima!! Kama haitoshi Majibu ya Jaji Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi yanakumbusha minyororo ya utumwa,kutawaliwa na wakoloni na ukoloni mamboleo wa man eat man society. Mjomba Magu...
  12. sblandes

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Mkuu inapendeza kuona majumba yenye mvuto,lakini mara nyingi wakandarasi ni kubana matumizi hasa majengo ya taasisi za umma. Mwalimu Nyerere alizungumzia Dodoma ni ghorofa nne tu,na kama kuna technology imekuja nayo iwekwe wazi ili wananchi wafahamishwe,kwani kwenye basement ya ghorofa ndefu...
  13. sblandes

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    Mpina naona unataka kunyanganywa jimbo ,si bora ujilipue kama Lyatonga Mrema alivyokimbilia upinzani NCR Mageuzi. CCM hawasahau na ukiona wamekupa kalipio kibunge na si kupitia chief whip ujue your days as CCM MP are numberd.
  14. sblandes

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Dodoma inapendeza hongera. Wakati inaanzishwa CDA miaka ya 70 mwanzoni ilikuwa majengo ya ghorofa yasizidi ghorofa nne kwa kuwa kuna viashilia vya tetemeko pia na water table ipo juu. Japan yenye matetemeko mengi duniani inajenga hata ghorofa 100 LAKINI chini yake kuna Spring na spring hizo ni...
Back
Top Bottom