Recent content by SAMUNGE TZ

  1. S

    Wamaasai wa Loliondo: Waziri Lazaro Nyalandu analiongopea Taifa & Rais

    Kwenye rangi nyekundu ni mtu na mke wake. sasa muulizeni M.Timan mke wake sio Mkenya tena ukoo wa Loita toka Ndyamanangi? Tunaofahamu siasa za wilaya ya Ngorongoro hawa hawatupi shida, hizi ni siasa za maji taka na ni za kikakila zaidi. na hao wote ni wasaka tonge kwa ajili ya uchaguzi mkuu...
  2. S

    Wamaasai wa Loliondo: Waziri Lazaro Nyalandu analiongopea Taifa & Rais

    "Nyalandu ni kiongozi mbovu lakini kwa hili namtetea. Nilipata kuandika 'bila kudhibiti NGOs loliondo haitawaliki'. Hii ni taarifa ya ngos za wakenya. Wanasumbua sana. Kinara wabkupost haya ni raia wa kenya aliyeajiriwa wizara ya maliasili na utalii. Tunamjua na anayetaka jina na namba yake...
  3. S

    CCM kuna nini?

    Kunani?Hoja yako na thread ni vitu viwili tofauti.
  4. S

    CCM yafanya ziara kuimarisha chama Arusha.

    CCM ipo wilaya ya Ngorongoro sehemu za wajinga za Loliondo kwa wawekezaji
  5. S

    Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

    Waandishi wa habari za kiuchunguzi wa gazeti la Raia Tanzania igeni uandishi wa habari za kiuchunguzi wa waandishi nguli wa gazeti la Jamhuri. Wapeni wasomaji wenu habari zilizo wazi kuliko kuzunguka MBUYU mkiongozwa na maadili ya taaluma yenu.
  6. S

    Dr. Slaa ndie katibu mkuu bora wa chama cha siasa Tanzania 2009-2015

    Tumia kichwa kufikiri na sio kufugia nywele
  7. S

    Sikuwahi Kufikiri kuwa UKAWA ni Mwiba kwa CCM

    Maoni mazuri Pamoja na kuwa ccm kama taasisi ilitoa maoni yake kwenye tume lakini imeyakana mchana kweupe!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hivyo ccm kuyakataa maoni ya walio wengi ndio wachawi.anayekukana nawe mkane kweupe 2015.
  8. S

    Nukuu ya Zitto Kabwe kuhusu kauli ya Mtei, Dr. Slaa na Marando kuhusu mgogoro na chama chake

    Kidumu chama cha mapinduzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!kidumu idumu siasa ya ujamaa na kujitegemea!!!!!!!!!!!!!!!!!!idumu zidumu milele fikra sahihi za m/kiti wa ccm!!!!!!!!!!!zidumu ww ndani ya ccm ni nani?ccm ina wenyewe na ww sio miongoni mwao zzk mpeni madaraka ndani ya ccm badala ya...
  9. S

    Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

    Kuna vyama vya siasa zaidi ya 18 kwa nn kila siku issue hapa ni chadema? Ulitaka ITV nayo iwe biased kama TBC na Clouds TV? Acha kuwa kanyanya wa fani.
  10. S

    CCM yakubali kutumia sera na mawazo ya CHADEMA. Sasa kuunda Economic Inteligence!

    I am writing to you in reference to the above subject matter only. Acha michepuko tujadili mada ya Yeriko Nyerere. Kama unataka ya ukamanda iandikie bango kitita
  11. S

    Oparesheni Tokomeza awamu ya pili kuanza karibuni... JK awaapisha wajumbe wa Tume!

    Mimi najiuliza tangu Operation tokomeza imelalamikiwa ni kwa nn mh.rais imemchukua muda mrefu kuunda tume ya uchunguzi ya ki-jaji hadi leo ilhali waliopoteza maisha ni binadamu? Ni vizuri tume hiyo ikawa huru na kuonekana ni huru kweli. Ripoti,madudu na wahusika wa Operation hiyo yatawekwa...
  12. S

    Wapinzani kutokuwa bungeni jana: Tafsiri yangu

    Okey,ahsante sana. Always you never argue with a fool/terrorist but attack him with a strong &constructive points
  13. S

    Oparesheni Tokomeza awamu ya pili kuanza karibuni... JK awaapisha wajumbe wa Tume!

    Mimi najiuliza tangu Operation tokomeza imelalamikiwa ni kwa nn mh.rais imemchukua muda mrefu kuunda tume ya uchunguzi ya ki-jaji hadi leo ilhali waliopoteza maisha ni binadamu? Ni vizuri tume hiyo ikawa huru na kuonekana ni huru kweli. Ripoti,madudu na wahusika wa Operation hiyo yatawekwa...
  14. S

    Maji aliyoahidi JK zimewekwa rangi za CHADEMA

    Kama ni kweli mradi umekamilika hizo ni kodi za watanzania. Rangi ya tank ina changamoto gani kwako? Kama ni kweli wewe Ulitaka wapake rangi gani? Uzi wako umechoka.
  15. S

    Wapinzani kutokuwa bungeni jana: Tafsiri yangu

    Hivi wanabodi huyu Joseph Lodvick ni yupi?sio yule.....................?
Back
Top Bottom