CCM yafanya ziara kuimarisha chama Arusha.

Viongozi wa ngazi za juu serikalini wametakiwa kushirikiana na waasis wa vyama hasa mabalozi wa vitongoji kutokana na wao kuwatambua wananchi wao kwa kiwango kikubwa hivyo kuweza kukuza chama na kupunguza uhalifu.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha wakati wa ziara ya chama cha mapinduzi kutembelea wilaya na kata kwa Wajumbe, Makatibu, Wenyeviti, Waasis wa vyama pamoja na Mabalozi kwa lengo la kujadili muongozo wa chama na changamoto zinazokumba baadhi ya kata. Mwenyekiti huyo ametembelea baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha.
CCM OYEEEE......

hii labda ilifanyika nyumbani kwa lowasa...
 
sina wind vane
Eh upepo unapimwa kwa wind vane?nini tofauti ya uelekeo wa upepo na kasi ya upepo?Nini tofauti ya wind vane na anemometer?mbona ni jeografia ya kidato cha kwanza kwa enzi zetu cku izi itakuwa darasa la nne.
 
mkuu hawa jamaa wa bavicha waliahidiwa viwanda vya gongo, kwahiyo wamelewa kabla havijaja!

Mbona hatujaiona hiyo ziara mitaani?

Mnawaita mabalozi wenu wenye ndala chakavu hapo Ccm mkoa kuwapa Gongo halafu mnasema mmefanya ziara..tehe..tehe.

Hamthubutu kuja mitaani.
 
Viongozi wa ngazi za juu serikalini wametakiwa kushirikiana na waasis wa vyama hasa mabalozi wa vitongoji kutokana na wao kuwatambua wananchi wao kwa kiwango kikubwa hivyo kuweza kukuza chama na kupunguza uhalifu.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha wakati wa ziara ya chama cha mapinduzi kutembelea wilaya na kata kwa Wajumbe, Makatibu, Wenyeviti, Waasis wa vyama pamoja na Mabalozi kwa lengo la kujadili muongozo wa chama na changamoto zinazokumba baadhi ya kata. Mwenyekiti huyo ametembelea baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha.
CCM OYEEEE......
imarisheni chama ila kama hamtamteua prof. anna tibaijuka kupeperusha bendera ya ccm 2015 ukawa tutawapiga bao tu. prof. huyu anna tibaijuka hana upinzani. yani yupo fit sana
 
Back
Top Bottom