CCM kuna nini?

Sifa ya kwanza kujiunga na ccm lazima ziwe hazikutoshi na lazima uwe na umimi na sio usisi. Unadhani mtu mwenye akili timamu anaweza kuitetea ccm ndani ya miaka 51 hii? Ndio maana hata viongozi wake wote 79.9% wana kale ka ugonjwa ka kusahau leo anasema hivi kesho mlininukuu vibaya ilimradi siku zisonge.

Iko siku watalazimisha poo

kutakuwa na kitu huko.leo lazima wakitaje
 
Chabruma mwenyewe anaongea mdomoni sababu ndio kazi yake moyoni anasema mungu nisamehe ndio hivyo mkuu bora mkono kuingie kinywani ajira hamna utafanyaje sasa tofauta na kazi hii ya lumumba labda awe mkameruni
 
Kwa kawaida mtu anayezungumza ukweli lazima afanane na mwenzake ambaye anazungumza ukweli ule ule. ila watakaosema kwa kuongopa lazima watatofautiana. Mathalan, ikiwa utaulizwa swali kuwa 1 + 1 ni ngapi? wale watakaosema ukweli hata kama watakuwa milioni watasema kuwa jibu lake ni mbili. Ila kama wataongopa hapo lazima utasikia mwingine anasema moja, mwingine atasema tatu, mwingine sifuri ilimradi kila mtu atatoa jibu analoona linafaa na atautetea uongo wake kuwa ni ukweli. Jaribu kutafakari japo kwa sekunde moja utajua nini namaanisha

Siku zote ukweli hauwezi kufanana kwa kila kitu! Ikitokea ukweli umefanana kwa kila kitu hapo ujue kuna tatizo kubwa! Ni kweli 1+1 inaweza kuwa 2 lakini ukweli huo hauishii hapo tu. Ukiwa makini zaidi utagudua ukweli tofauti na wa kwanza ambao nao pia ni ukweli! Kwa mfano 1 na 1 ni sawa na 1 mbili na sio 2. Mfano mwingine ni aliowahi kuusema Mwl Nyerere aliposema " Ukiniambia 2 na 3 ni ngapi nikakujibu ni 5 usiseme nimekosea endapo wewe utakuwa unajua ni 6. Inawezekana wewe ulimaanisha 2x3 wakati mimi namaanisha 2+3." HUU NI MFANO WA UKWELI UNAOTOFAUTIANA KIMANTIKI. Kama wote mna akili nzuri, UKWELI WENU HAUWEZI KUFANANA!
 
wanaccm wote wanalingana , wa darasa la 7 na profesa wa chuo kikuu hawana tofauti , nadhani hiyo ni laana ya MUNGU .
 
naona pumba tu humu. kama wanasheria wenyewe ndo kina nyie basi tunayo safari ndefu sana kufikia malengo yetu.

This is a serious question...I am not joking. Kila mwanachama/kiongozi akizungumza anazungumza kwa tambo zisizo na maana,kejeli,dharau na maneno matupu yasiyo na tija. Anakuwa tofauti na yule wa kabla ya kujiunga CCM.

Nimemuona na kumsikia mdogo wangu Salum Ally Hapi wa CCM aliyekuwa akihojiwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV leo. Hapi amebadilika. Si yule aliyekuwa mjenzi wa hoja UDSM na kuaminika. Hapi alipojiunga UDSM kwa Shahada ya kwanza ya Sheria,alinikuta nipo mwaka wa tatu Kitivoni. Nilimuacha akiwa mwaka wa pili.

S.A.Hapi si yule kabisa. Amefunzwa au kulishwa nini? Na kwanini karibu wote wanafanana uzungumzaji na wanavyovizungumza?

Bwana mdogo Salum Ally Hapi,jirekebishe and kindly mind your words and acts!
 
Kwasasa nimegundua kuna tatizo kuwa kila anayeshabikia serikali tatu au sera au hoja ambayo imeshasemwa na ccm basi huyo ni mwana ccm. Na wale wanoshabikia kuitukana ccm basi wao ndiyo watanzania. tunaipeleka wapi hii nchi?

UKAWA isiporudi bungeni jumatano basi nitaamini kile nilichoambiwa na mtu mmoja kuwa UKAWA ndiyo chanzo cha kifo cha chadema. Sababu alizotoa ni kwamba chadema wasipoingia bungeni, ngo inayo walipa kila mwana ukawa shilingi za kitanzania 450,000/= zinazotolewa na ngo fulani inayoitwa Konrad-Adenauer-Stiftungkwa kifupi KAS itafungiwa kufanya shughuli zake hapa nchini kwa kusababisha mgogoro wa kidiplomasia na kwenda kinyume na sheria za nchi. Kisha itakua vigumu kuwalipa wana ukawa na hivyo baadhi yao kulazimika kurudi bungeni ili waambulie angalao kidogo kuliko kukosa kabisa, kitu ambacho kitazua mgogoro ndani ya vyama hasa chama chenye wabunge wengi wa bara ambacho ni chadema. Kwanini siyo CUF maana ina wabunge wengi kwa nchi nzima zaidi ya chadema? anajibu kuwa Zanzibar ajenda yao iko wazi ni serikali ya mkataba na si serikali tatu na hivyo hawatakua na cha kupoteza.

Tujihadhari kabla ya shari. chadema muwe mnasikiliza mashauri siyo kujisukumiza tu kama wote ni kina sugu, lisu na lema.
 
Mimi kuna watu wawili wakiongea wananifanya nitamani kuvunja tv yangu, wanabinua na kufinyafinya midomo kwa dharau na majivuno, Nkamia na Lukivi. Mbona kituko wenu hayuko hivyo? Nani anawafundisha?!
 
Its not them talking, they are just spokes persons, as such, consistency is inevitable

Sure! Reminds me of the monotony the Magambas demonstrated in debating their "ccm induced draft constitution" in the BMK, whereby every Gamba had crammed and uttered the words "mimi muumini wa serikali 2", but unfortunately, none of them could defend the 2 tier govt system! They were/are just singing the way parrots do, shame on them!!
 
This is a serious question...I am not joking. Kila mwanachama/kiongozi akizungumza anazungumza kwa tambo zisizo na maana,kejeli,dharau na maneno matupu yasiyo na tija. Anakuwa tofauti na yule wa kabla ya kujiunga CCM.

Nimemuona na kumsikia mdogo wangu Salum Ally Hapi wa CCM aliyekuwa akihojiwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV leo. Hapi amebadilika. Si yule aliyekuwa mjenzi wa hoja UDSM na kuaminika. Hapi alipojiunga UDSM kwa Shahada ya kwanza ya Sheria,alinikuta nipo mwaka wa tatu Kitivoni. Nilimuacha akiwa mwaka wa pili.

S.A.Hapi si yule kabisa. Amefunzwa au kulishwa nini? Na kwanini karibu wote wanafanana uzungumzaji na wanavyovizungumza?

Bwana mdogo Salum Ally Hapi,jirekebishe and kindly mind your words and acts!

Mkuu mbona unalalama tu huoneshi hicho kilichosemwa vibaya na Hapi??? Au ndo majungu na wivu wa kike...!!
 
Kwa bahati nzuri ni kwamba Rais JK amewaambia ukawa kuwa mna ugonjwa wa kutaka kusikia tu yale yanayowafurahisha. Mkiambiwa ukweli mnanuna

Hivi wewe huyu rais huwa unamtilia maanani kweli! Mtu amabe alikataa kura za wafanyakazi kila mtu akimsikia ,baadae akakanushakuwa hakukataa.DAH kweli ndugu yangu tunatofautiana uelewa.
 
This is a serious question...I am not joking. Kila mwanachama/kiongozi akizungumza anazungumza kwa tambo zisizo na maana,kejeli,dharau na maneno matupu yasiyo na tija. Anakuwa tofauti na yule wa kabla ya kujiunga CCM.

Nimemuona na kumsikia mdogo wangu Salum Ally Hapi wa CCM aliyekuwa akihojiwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV leo. Hapi amebadilika. Si yule aliyekuwa mjenzi wa hoja UDSM na kuaminika. Hapi alipojiunga UDSM kwa Shahada ya kwanza ya Sheria,alinikuta nipo mwaka wa tatu Kitivoni. Nilimuacha akiwa mwaka wa pili.

S.A.Hapi si yule kabisa. Amefunzwa au kulishwa nini? Na kwanini karibu wote wanafanana uzungumzaji na wanavyovizungumza?

Bwana mdogo Salum Ally Hapi,jirekebishe and kindly mind your words and acts!
Mkuu uko sahaihi kabisa mimi hadi leo nawashangaa sana wafuasi,wanachama,wapenzi , viongozi na mashabiki wote wa CCM.niliwahi kuposti maoni yangu humu nikielezea wasiwasi wangu kuwa huenda ktk chama hiki kuna kitengo cha siri sana zaidi ya kitengo cha usalama wa CCM.Hiki kinaweza kuwa kina mkusanyiko wa washirikina na kazi yake kubwa ni ku flush akili za wana chama wao.maana michango yao mitandaoni,michango yao kwenye vikao kama bunge n.k ,wakihojiwa ,midahalo n.k ni pumba tupu.hata wale waliokuwa mahili kabla ya kujiunga na CCM wote pumba tu.mkuu nakubaliana na wewe wala sitoi kashfa.hili naliongea kwa huzuni kabisa.
 
Kwa kawaida mtu anayezungumza ukweli lazima afanane na mwenzake ambaye anazungumza ukweli ule ule. ila watakaosema kwa kuongopa lazima watatofautiana. Mathalan, ikiwa utaulizwa swali kuwa 1 + 1 ni ngapi? wale watakaosema ukweli hata kama watakuwa milioni watasema kuwa jibu lake ni mbili. Ila kama wataongopa hapo lazima utasikia mwingine anasema moja, mwingine atasema tatu, mwingine sifuri ilimradi kila mtu atatoa jibu analoona linafaa na atautetea uongo wake kuwa ni ukweli. Jaribu kutafakari japo kwa sekunde moja utajua nini namaanisha

ndo haya haya aliyosema mtoa mada.kwa kifupi wewe hapa umeongea pumba tu.wala haihitaji kufanya utafiti mkubwa .wewe ni samle nzuri tu.
 
This is a serious question...I am not joking. Kila mwanachama/kiongozi akizungumza anazungumza kwa tambo zisizo na maana,kejeli,dharau na maneno matupu yasiyo na tija. Anakuwa tofauti na yule wa kabla ya kujiunga CCM.

Nimemuona na kumsikia mdogo wangu Salum Ally Hapi wa CCM aliyekuwa akihojiwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV leo. Hapi amebadilika. Si yule aliyekuwa mjenzi wa hoja UDSM na kuaminika. Hapi alipojiunga UDSM kwa Shahada ya kwanza ya Sheria,alinikuta nipo mwaka wa tatu Kitivoni. Nilimuacha akiwa mwaka wa pili.

S.A.Hapi si yule kabisa. Amefunzwa au kulishwa nini? Na kwanini karibu wote wanafanana uzungumzaji na wanavyovizungumza?

Bwana mdogo Salum Ally Hapi,jirekebishe and kindly mind your words and acts!

Unataka jibu kaka Peter? Basi ni hili:mara nyingi mlevi ukimwita mlevi lazims mtashikana mashati, lakini ikimwita mnywaji lazima mtaelewana, basi kwa kifupi akishaonjeshwa utamu wa UFISADI lazima mtu atabadilika, na yale yote mazuri yatasahauliwa. Waone wote waliokuwa na misimamo mikali anapoingia atasema alikuwa analazimishwa kusema.Na hiyo ndiyo hulka ya binadamu asiye na msimamo imara
 
Kwasasa nimegundua kuna tatizo kuwa kila anayeshabikia serikali tatu au sera au hoja ambayo imeshasemwa na ccm basi huyo ni mwana ccm. Na wale wanoshabikia kuitukana ccm basi wao ndiyo watanzania. tunaipeleka wapi hii nchi?

UKAWA isiporudi bungeni jumatano basi nitaamini kile nilichoambiwa na mtu mmoja kuwa UKAWA ndiyo chanzo cha kifo cha chadema. Sababu alizotoa ni kwamba chadema wasipoingia bungeni, ngo inayo walipa kila mwana ukawa shilingi za kitanzania 450,000/= zinazotolewa na ngo fulani inayoitwa Konrad-Adenauer-Stiftungkwa kifupi KAS itafungiwa kufanya shughuli zake hapa nchini kwa kusababisha mgogoro wa kidiplomasia na kwenda kinyume na sheria za nchi. Kisha itakua vigumu kuwalipa wana ukawa na hivyo baadhi yao kulazimika kurudi bungeni ili waambulie angalao kidogo kuliko kukosa kabisa, kitu ambacho kitazua mgogoro ndani ya vyama hasa chama chenye wabunge wengi wa bara ambacho ni chadema. Kwanini siyo CUF maana ina wabunge wengi kwa nchi nzima zaidi ya chadema? anajibu kuwa Zanzibar ajenda yao iko wazi ni serikali ya mkataba na si serikali tatu na hivyo hawatakua na cha kupoteza.

Tujihadhari kabla ya shari. chadema muwe mnasikiliza mashauri siyo kujisukumiza tu kama wote ni kina sugu, lisu na lema.

Ona sasa hata mada haijapoa wewe umedhihirisha ujinga wenu.unasema NGO inawalipa UKAWA kila mwaka wakati UKAWA imeanzishwa mwaka huu.haya ndio anayoyasema mtoa mada.Halafu hawa UKAWA wametoa masharti mepesi tu,wamesema watarudi bungeni kujadili rasimu ya WARIOBA mkitekeleza hilo wanarudi.sasa niambie wapi CCM imekubali kujadili rasimu ya tume ya warioba ambayo ndio maoni ya wananchi.kaka IQ yako iko chini sana.
 
Siku zote ukweli hauwezi kufanana kwa kila kitu! Ikitokea ukweli umefanana kwa kila kitu hapo ujue kuna tatizo kubwa! Ni kweli 1+1 inaweza kuwa 2 lakini ukweli huo hauishii hapo tu. Ukiwa makini zaidi utagudua ukweli tofauti na wa kwanza ambao nao pia ni ukweli! Kwa mfano 1 na 1 ni sawa na 1 mbili na sio 2. Mfano mwingine ni aliowahi kuusema Mwl Nyerere aliposema " Ukiniambia 2 na 3 ni ngapi nikakujibu ni 5 usiseme nimekosea endapo wewe utakuwa unajua ni 6. Inawezekana wewe ulimaanisha 2x3 wakati mimi namaanisha 2+3." HUU NI MFANO WA UKWELI UNAOTOFAUTIANA KIMANTIKI. Kama wote mna akili nzuri, UKWELI WENU HAUWEZI KUFANANA!

mkuu umenifariji sana,hawa watu wanahitaji msaada sana,umenifanya nisikate tamaa kuwa nchi hiibado ina watu mahili na wenye akili sana.wewe ni mfano mzuri wa watu mahili na wenye akili.
 
Mkuu Job K,mwenye mada ana haki ya kujibu hoja zinazoibuliwa na wachangiaji. Mimi si kama wengine wanaoweka mada halafu wanakimbia. I defend my topic....it is my absolute right
Mkuu Petro E. Mselewa, nakubaliana na wewe kabisa kwa asilimia zote kwamba una haki ya kujibu hoja zinazojitokeza. Umefanya vizuri mkuu, ila nilikuwa naweka utani tu kidogo mkuu maana ulinichekesha ulivyomwambia Chabruma aachie na wengine wachangie!!

Tuko pamoja mkuu!!!
 
Back
Top Bottom