Recent content by Salim Mhina

  1. S

    TV Series gani ilikukuna mtima wako.......

    1.prison break 2.marima 3.a man called god 4.jumong 5.dont miss with an angle
  2. S

    nishaurini wadau

    Nahitaji kununua simu yenye uwezo wa sifa hizi: 1.VIDEO MP4 FORMAT PLAYER 2.3D 3.Android 4.internal memory> or = 1GB Na mengine yaliyo updated
  3. S

    Aaah,wamekata

    Nimem2mia mshikaj muda wa maongez wamenikataaaaaaaaa!
  4. S

    TBC LIVE: Tekinolojia mpya ya kupata laptop au simu yako iliyoibwa

    jaman mi nnavyoona m2 tena mbongo mwenzetu anapojitahid kataka mambo kama haya ya technolojia nikumuunga mkono na kumpa ushaur ili aendelee kutoa na kuisaidia jamii.Hapo co maneno ya et kwamba alikuwa muuza dawa za meno.Mbona Carl Maxy alikuwa m2 wa kufeli kila mtihani wa kufuzu level lakini...
  5. S

    Zawadi anazopewa rais wenu!

    Jamani lakini huenda amefuata ule ubeti wa ZAWADI NI ZAWADI USICHAGUE,HATA IKIWA NI MKIA WA KOMBA CHUKUA......
  6. S

    Napenda kujifunza Kihindi

    Jamani mie kihindi ckijui so kama utaandika kwa kihindi bac unipe na tafsiri yake
  7. S

    Napenda kujifunza Kihindi

    enhe mana nini?
  8. S

    Napenda kujifunza Kihindi

    so ndo usha anza co,enhe manake nn?
  9. S

    Nani anifunze kihindi

    em kivurumushe japo kidogo...
  10. S

    Nani anifunze kihindi

    Napenda sana kujifunza lugha ya kihindi nani atanisaidia japo yakuombea maji.
  11. S

    Napenda kujifunza Kihindi

    Eny one can teach or give me un introduction about this language.
  12. S

    Nokia 6020 inauzwa

    Nokia 6020 used inauzwa.Ina sapot internet pamoja na Opera mini 3.2 vesion,2MB memory,3GP video,mp3.Bei maelewano fika bei uchukue.Hii ni kwa wale wakaz wa Moshi kuja Sanya Juu tu.Nitafute kwa 0759055104.
  13. S

    Dah!Diamond balaa yani...

    Unajua kukata mauno katika video na kum2 kulimiliki jukwaa kikamilifu ni v2 viwili tofauti.TID ni mkali wa mauno na kushek but c mkali wa kumil jukwaa kama alivyo diamond.Wacheki wakali hawa wa jukwaa Michael Jackson,Rihana,Nick minaj then tel me ukiwapa hiv vijukwaa vya 6 X 6 patawatosha kwel
  14. S

    Diamond ang'aa na tuzo tatu za KILL...

    ya nani tell me.
Back
Top Bottom