Recent content by REJESHO HURU

  1. REJESHO HURU

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Yani huna experience yoyote ya wanafunzi na kujua changamoto za uwalimuna kuzitatua unaenda kusoma masters aisee nakushauri nenda kafundishe kwanza at list miaka mitatu ujue uhalisia wanafunzi wa tanzania na changamoto zao kisha ndio uende kusoma hiyo masters yako Ni aibu sana kuwa na elimu...
  2. REJESHO HURU

    Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Silaha za kivita zimeekezwa uelekeo mbaya sana ukijimix tu umekwisha😂😂😂
  3. REJESHO HURU

    Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Siye tunazungumzia maslahi mapana ya Taifa wewe unaongelea UCHADEMA upo mwaka wa ngapi chuo maana akili yako bado haina akili
  4. REJESHO HURU

    Fatma Karume: Tatizo Watanganyika hawajitambui utaifa wao, sisi Zanzibar hatuwezi kufuta utaifa wetu

    Mwenye bendera ya Tanganyika please naiona nianze ipeperusha kwenye gari yangu
  5. REJESHO HURU

    Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    PDF ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya na Wakurugenzi ipo tayali Arusha ina mkuu wa mkoa mwingine katika hii PDF jina makonda halipo hapa tunasubilia sherehe za mei mosi zipite tuipandishe
  6. REJESHO HURU

    Nilisema Makonda haendi mbali kwenye uenezi wa CCM na sasa kwenye ukuu wa mkoa pia itakuwa hivyo

    Tunasubilia amalize kuandaa sherehe za mei mosi tumuage na kumuaga hiyo siku maana atalopoka tu si kichwa maji
  7. REJESHO HURU

    Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

    Tatizo ni hiyo herufi iliyopo juu ya Q kwenye keyboard yako ebu iangalie vizuri
  8. REJESHO HURU

    Unamkumbuka Mr Ebbo kwa kipi?

    DJ piga kamondo umefanya nini pegere
  9. REJESHO HURU

    Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

    Mwaka 2000 mpaka 2013 mwanza ilikuwa ya moto sana kiburudani Sahara media ikiwa na the kiss fm, na Radio free Africa pamoja na chuo cha SAUT MWANZA viliipaisha sana MWANZA enzi hizo SAUT wanasoma watoto wakishua tu ambao bata ilikuwa ndio imani yao asikwambie mtu MWANZA ilikuwa tamu bwana enzi...
Back
Top Bottom