Pole sana to his family and to Tanzania, surely even here in Kenya we loved the guy.Wakenya ni mashabiki wakubwa wa nyimbo na movies za Bongo.I loved the guy's acting,he was an excellent actor ,ni msiba uliyoje.Inahuzunisha sana.RIP Steve Kanumba.We here in Kenya will miss your acting.May The...
Ndugu yangu anafikiria kwamba huyu mtoto amekuwa akionyeshwa hawa wanaume wengine pia kama baba zake yani amekuwa mkora kama mamake.Kwa sasa ndugu yangu amekuwa akilewa tuu hata hasemezeki ,wacha atulie nimweleza mambo ya DNA
Wana jamii,
Ndugu yangu amekuwa akimlea mtoto msichana aliye fikiri ni wake ,mtoto anaishi na nyanya yake lakini ndugu yangu humtembelea mara kwa mara na humlipia fees, medical na mambo mengine financial support.Juzi akaelezwa kwamba mama ya yule mtoto amewambia wanaume wengine watatu eti mtoto...
Niko na 2 relationships I cant seem to forget,ya kwanza the one and only guy ambaye nilimpenda sana hadi nilikuwa ninamuogopa.Sijawahi feel hivi for anyone else.Wakati mmoja alini pay a surprise visit nilikuwa naugua sana nilipomwona nikapona.Wakato wowote nikimfikiria I smile because I feel...
What a beautiful and wonderful day for all of us here in Africa.from Kenya we are following proceedings live on TV .its great to see our brothers and sisters who have been refuges,sold as slaves,killed&tortured now having their own country.John Garang mausoleum stadium symbolic of what is...
Wakuu baada ya muda mrefu nimerudi Jamii forums na leo tena nataka munisaidie na mawazo kuhusu yule dada ambaye niliwaeleza kwamba alikuwa ana double deal kisha ilipowadia wakati wa kuolewa aliyekuwa spare akafariki mwezi mmoja kabla ya harusi ya huyu dada.Huyu dada sasa ameolewa na amerudi back...
Ahsante sana kwa ushauri huu ,mama yangu mzazi pia ameniambia hivyo hivyo ya kwamba huyu ni mtu muovu na nijitege kutoka kwake kwa sababu ni mtu anaweza pia kunitenda.Mama yangu alinishauri nisiende hiyo harusi manake ni harusi ina laana kwa sababu ya uongo wa huyu msichana.
Nimeyaona mengi lakini sijayaona haya hata mimi imenigusa sana,niliposikia huyu bwana amefariki wazo langu la kwanza nilifikiria amejinyonga kwa sababu ya kuwachwa kila mtu alijuwa huyu mtu alikuwa amekata tamaa na maisha sababu ya harusi ya mpenzi wake wa miaka saba kwa hivyo watu wengi...
Bado niko kwa hali ya mshtuko kuhusu kifo cha kijana huyu,nilikuwa nimetoka likizo wiki ya kwanza ya January nilipoingia pale kwenye estate ambapo pia mimi ninaishi marehemu na dada huyu tukakutana wakitoka wakaniileza walikuwa wamerudi usiku sana ndivyo sikupata nyumbani nilipo wasili -huyu...
Kuna rafiki ambaye at one tym alinisaidia na makao kwa muda wa mwezi moja and I feel indebted to her for how she assisted me.Anaolewa next month lakini as much as I want to be there circumstances surrounding the whole thing is making me think twice.
Nimemjua sasa for almost a year- kwa wakati...
unajua ni mwiko kuwa huja tahiri,infact nika wambia watu wengine anaweza kutahiriwa kilazima.Sikuwahi kuona mtu asiye tahiri.Na yeye amekuwa akificha ,hataki kuguswa kumbe ameficha makuu.Nilipojua sijaweza hata kuonana naye.Im avoiding him mpaka nione what to do.Ni risky sana hata na protection...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.