Recent content by Pile F

  1. Pile F

    Kiasili Binadamu hapendi Uhuru lakini anauogopa Uhuru

    Asante Numbisa na chuma cha mjerumani kwa tafakuri Lakini tuwe wazi kuwa katika kuzungumzia Uhuru hatujaribu kumaanisha nguvu ya kufanya kile ambacho kimaumbile hakiwezekani. Mtu anayejaribu kuruka kutoka kwenye mnara ataanguka chini na hatakwenda juu, na hayupo huru kuchagua kufanya...
  2. Pile F

    Kiasili Binadamu hapendi Uhuru lakini anauogopa Uhuru

    Habari ya leo wanajamvi. Ninatoa Pole na hongera mnapofanya kazi zenu kwa jitihada kubwa. Mola awajaalie mema yazidi kuongezeka. Moja kwa moja ninawakaribisha kwenye Mada: Katika mtazamo wa kwanza jambo hili huonekana kuwa si kweli. Tangu wakati wa Plato kumekuwepo na mawazo kuwa Binadamu siku...
  3. Pile F

    Ubepari wa Kigeni Katika Uchumi wa Tanzania Leo

    Habari ya siku, wasomi wa kweli, nguvukazi yetu na watu mlio Imara. Poleni na shughuli na purkushani za hapa na pale. Mola awajaalie mpate afadhali zaidi. Moja kwa moja kwenye Mada: Pamoja na Ubepari wa kibinafsi na mabwanyenye wa kienyeji hapa Tanzania, kuna utaratibu wa uzalishaji mali wa...
  4. Pile F

    Mwl.Nyerere; Mswada wa Haki za Binadamu,Demokrasia na Katiba Mpya Havifai Kwa Nchi Masikini kama Tanzania.Je Tanzania Sasa Imeendelea?

    Some pieces of statement are a type of informal fallacy. They states that Hussein and Mary both drive pickup trucks. Then since Hussein is a teacher, Mary must also be a teacher. Mwalimu alikuwa anauona ugumu wa kufanikiwa kwa mawazo kama hayo ya nchi maskini kuukaribisha umagharibi haswa wenye...
  5. Pile F

    Rais Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa

    Pamoja na CCM kuwa Chama kifanyacho Demokrasia kwa njia ya Mapinduzi miongoni mwa Viongozi wa Chama, kunaweza kukutikana watu ambao katika Imani zao za kisiasa-kiitikadi huelekea kufuata hasa maoni ya kibwanyenye uchwara ya kiburi Cha Utaifa. Mwelekeo kama huu wa Viongozi pamoja na ushawishi...
  6. Pile F

    Tukumbushane Wajumbe wa Tume ya Jaji Warioba ( Katiba Mpya)

    Katiba Mpya si ya Muhimu sana. Rais wetu Kikwete na pia Rais Magufuli walilifahamu hili. Rais Samia anaelewa na anakwenda vizuri Nguvu zote kubwa za kisiasa za dunia-mfano, Vita, Maendeleo ya kiuchumi ya Mataifa na Mahitaji ya huduma za Jamii yamekuwa yakiyaimarisha Mataifa mbalimbali kama...
  7. Pile F

    Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni

    Mbeya Sehemu sahihi Sana kwa watafutaji na kwa kuishi! Pana amani na Maisha mepesi Sana kwa wale wanaojituma
  8. Pile F

    Zitto alalamika kundi la Magufuli ndani ya CCM kuihujumu maridhiano na kuinyima ACT mbunge EALA

    Maandishi ya Zitto Kabwe hayajamtaja Rais Magufuli
  9. Pile F

    Mwendo wa Kupigania Amani, Tatizo la kuondosha Silaha

    Kuhusika na haya, Tume ya Kimataifa Isiyofungamana na Upande Wowote, ambayo inajishughulisha na tatizo la kuondosha SILAHA na kudhaminia usalama duniani imesisitiza: " Baadaye Maisha yenyewe ya binadamu wote yatakabiliwa na hatari ya kifo. Wingi mkubwa wa mipasuko ya mabomu ya kinyuklia utakuwa...
  10. Pile F

    Mwendo wa Kupigania Amani, Tatizo la kuondosha Silaha

    Katika maandishi fulani ya Magharibi nimewahi kusoma kwamba pindi vita vya KINYUKLIA vikifumuka, matokeo yake yatakuwa ni kuangamizwa kwa nchi zile tu zilizo wanachama wa miungano mikuu miwili inayopambana, yaani mwahada wa WARSAW na ule wa NATO Dai hili nalo halina kabisa msingi wowote. Kwa...
  11. Pile F

    Mwendo wa Kupigania Amani, Tatizo la kuondosha Silaha

    Ni kwa nini unafikiri haiwezekani Count Capone
  12. Pile F

    Mwendo wa Kupigania Amani, Tatizo la kuondosha Silaha

    Wasalaam wanajamvi... Poleni na majukumu na Mwenyezi awawekee wepesi kila wakati mema yazidi kuongezeka kwa kila mmoja wetu JE MNAAMINI KUWA KUNA UWEZEKANO HALISI WA KUONDOSHA SILAHA ULIMWENGUNI? Uwezekano kama huo upo bila ya kujali kwamba tangu mwanzoni kabisa mwa historia yao, binadamu...
  13. Pile F

    Tuwe wawazi kidogo, wazo la Ujamaa halikuwa jema kwa ukubwa

    Katiba si Muhimu sana It is obvious, however, that if we are to make progress towards Development goals, we in Tanzania must accept the realities of our present position (Katiba iliyopo), internally and externally, and then work to change these realities into something more in accord with our...
  14. Pile F

    Tuwe wawazi kidogo, wazo la Ujamaa halikuwa jema kwa ukubwa

    Sio kweli, Ujamaa haukufanyi uone haki yako kuwa ni favor. Socialism--like democracy--is an attitude of mind. In a socialist sociecty it is the socialist attitude of mind, and not the rigid adherence to a standard political pattern, which is needed to ensure that the people care for each...
  15. Pile F

    Waziri Prof. Mkenda dhambi hii ya udahili vyuoni isisubiri tamko la Rais Samia

    Kamsamba sawa ni shule ya serikali, unataka kusema Kamsamba hawana uwezo kabisa wa kupata Div I za point 3 na 4? Kama hawana uwezo unashauri nini kifanyike kwenye hizo shule? Maana Mitihani ya Taifa ni ileile na wanafanya maswali sawa na wale wa Private. Sijaelewa kwa nini unahitaji sana...
Back
Top Bottom