Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 592
- 1,285
Sawa, najua utachoanza kusema, ooh ukabila ulikomeshwa, hakuna civil war, mabeberu wangepindua tena nchi hii, etc. Lakini twende na uhalisia wa matokeo, ni nchi gani iliyokuwa mfuasi wa ukomyunisti (kutoka kwa Mchina na Mrusi) leo ina maendeleo yenye kasi kubwa, bali tu kuwa wahanga wa sera zao (china na russia) ili kujinadi dhidi ya Mmarekani na kujiendeleza kibinafsi kwa kukutupia bidhaa zao.
Muangalie China na Russia leo kimaendeleo, then tuangalie Cuba, Tanzania, Zambia, North Korea etc.
Idea ya kukusanya kila rasili mali iwe chini ya institution moja na kuja na wazo la kuigawanya kwa usawa kwa kila mwananchi haikuwa sawa kwa Nyerere, kwa maana kwa wakati ule govt hawakuwa na uwezo wa kuzimonitor na exploit rasilimali. Pia wananchi wa wakati ule mentallity zao hazikua highly programmed kuwaaminisha maswala ya sera na uchumi shirikishi.
Naelewa Nyerere alikuwa hana imani tena na Western countries, lakini pia haikuwa sababu ya kujiegemeza kwa upande mmoja.
Sawa mzee alikuwa motivated na marxism na akajenga sera yake ya ujamaa, lakini pia alipaswa na kuingiza kidogo na visera ya capitalism ili aje na kitu kipya ambacho naamini kingejenga tumaini jipya.
Malaysia, India, Israel (kablakuwa rafiki wa marekani) na Indonesia walikataa ujinga wa Mmarekani wala wa mchina, lakini walijitahidi kufanya nao kazi wote, naamini leo unaelewa maendeleo yao.
Hakukuwa na haja ya kuogopa kuleta investors, kwa maana yeye alikuwa msomi, angesimamia mikataba yote na hakikisha inakabidhiwa chini ya umoja wa mataifa. Pesa za investors zingesaidia kuimaalisha miundombinu na kilimo ambacho mzee alikipigania.
Tumekuwa kutoka vizazi na vizazi tukiaminishwa jinsi gani wazungu wa wastern walivyo wabaya, lakini hatukuambia ubaya wa Mchina na Mrusi. Leo tumefaidika nini kiuchumi na kujiegemeza na sera za Marxism na Leninism.
Kwa upande wangu hizi ni athari mbaya za Ujamaa zilizobaki katika vizazi vyetu.
1: Hatuko exposed na dunia. Ndio maana wengi hatuna ubunifu makazini, level ya confideallity ipo chini.
2: Nidhamu ya woga. Hatuhoji na hatukonyuma ya wale wanahoji.
3: Tumezoea na ku-embrace umasikini wetu. Babu alitumia randa ya mkono, baba randa ya mkono, mwana randa ya mkono, mjukuu randa ya mkono.
4: Kuchelewa kwa Maendeleo ya sekta binafsi. Naamini uchumi ungekuwa exposed kuangia hata 70s Tanzania tungekuwa na makmpuni mengi yanayodeal internally na externally.
5: Bado tuko connected na kupambana na vitu tulivyoelemishwa au directed kufanya. Hadi leo tunapambana na kuboresha kilimo wakati ethiopia wana export chai na wana baod wana International airline.
6: Tulichelewa kunufaika na faida za rasilimali zetu, na zilizovyokuja kuwa wazi zikawamonitored hovyo na wajanja wakawa wanakula kuku kwa mlija.
By the way, Long Live Nyerere, Mwanadamu hawezi kuwa mkamilifu na hata kama akijaribu wanaomzunguka watamuangusha.